Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hivi kibongo bongo kimchi ndio kama kachumbari nini?
Kimchi ni fermented cabbage. (Fermentation ni mada pana) lakini kwa kifupi njia hii hutumika kupreserve chakula na kufanya kidumu kwa muda mrefu na kukiongezea ladha mfano wa fermented products ni yogurt, wine, beer, kimchi nk.

Kuandaa kimchi simply cabbage inakatwa katika vipande vidogovidogo kisha inakua treated na chumvi (muhimu zaidi) na ingredients zingine kama vitunguu saumu, tangawizi nk (inategemea na flavour mtu anayotaka kimchi yake iwe nayo). Baada ya kuandaa inawekwa katika chombo kisichopitisha hewa humo ndani microorganisms wataconsume sugar iliyo ndani ya cabbage anaerobocally na kufanya Fermentation ya cabbage.

Baada ya siku 2-3 kimchi itakua tayari kwa ajili ya kutumika kama side dish. Ila inakua chumvi nyingi sana pia ni chachu haswa kiasi kwamba wabongo tulivyozoea mpaka mboga itiwe nyanya na mafuta nawahakikishieni wabongo wengi hawawezi kutumia hio kitu ya kuitwa Kimchi ila ni rahisi kuitengeneza mtu yoyote anaweza iandaa nyumbani kwake
 
Nimejaribu kuhesabu historical drama nilizoangalia bado nina safari ndefu

The Legend (niliangalia zamani sana )
Emperor of the sea
Sungkyunkwan scandal (sijui kama nimepatia kuandika)
Shine or go crazy
Empress ki
The Great Queen seondeok
Gu family book
The king maker
Warrior Baek dong soo
The great seer
Ruler : Master of the mask
The moon embracing the sun
The royal gambler
Mr Queen
Dr. Jin
The crowned clown
The princess' man
Under the Queen's umbrella
Secret royal agent
100 days my prince
Faith
Moon lovers
Hwarang @DAEMUSHIN anaiita Boys over flowers ya joseon period
Bloody heart
The king in love
Alchemy of souls season 1

Ambazo nimeangalia bila kuzimaliza kutokana sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Jumong
Iljimae
Chuno
Six flying dragons
Queen for seven days (niliangalia episode moja tu)
Arang and the magistrate
Secret healer
Tree with deep roots
Dae jo young


Ambazo zipo kwenye list ya kuangaliwa
Rookie historian.....malizieni wenyewe
Bossam : steal the fate
Joseon marriage agency
The king's affection
Forbidden marriage
Love in the moonlight
Alchemy of souls season 2
 
Sipendi Korea drama zenye maudhui ya horror ( mambo ya giza) mbona umeshangaa nilivyosema supernatural?
Hata mimi horror sipendi .. kama kuna ghost wasiwe wale wanaotisha sana. Si kwamba eti naogopa ni basi tu sipendi. Kuna drama mpya wamecheza Cha eun woo na Kim nam gil nilitaka niangalie ila hapana nimeona sitaweza baada ya kuangalia teaser.
Nimeshangaa kwa vile wewe huwa unasema hutaki drama ambazo hazina uhalisia
 
Kuna movie ya korea naitafuta.Jina Kama linasema Last king of korea niliiona kidogo nikaipenda lkn sikuimalizia Kuna mahali mfalme alienda porini kuoga mtoni peke yake akakutana na binti ambae badae alimbeba kwenye guta kumrudisha mjini baada ya mfalme kupewa kinywaji chenye kilevi akalewa.Nimeeleza kidogo Kama mtaijua hii movie.
 
Hata mimi horror sipendi .. kama kuna ghost wasiwe wale wanaotisha sana. Si kwamba eti naogopa ni basi tu sipendi. Kuna drama mpya wamecheza Cha eun woo na Kim nam gil nilitaka niangalie ila hapana nimeona sitaweza baada ya kuangalia teaser.
Nimeshangaa kwa vile wewe huwa unasema hutaki drama ambazo hazina uhalisia
Hapana labda ume wrong number mimi napenda movie za uhalisia ndio maana sipendi zenye maudhui ya science fiction au horror labda horror za kizungu ndio napenda lakini si za wakorea.
 
Back
Top Bottom