Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kimchi ni fermented cabbage. (Fermentation ni mada pana) lakini kwa kifupi njia hii hutumika kupreserve chakula na kufanya kidumu kwa muda mrefu na kukiongezea ladha mfano wa fermented products ni yogurt, wine, beer, kimchi nk.

Kuandaa kimchi simply cabbage inakatwa katika vipande vidogovidogo kisha inakua treated na chumvi (muhimu zaidi) na ingredients zingine kama vitunguu saumu, tangawizi nk (inategemea na flavour mtu anayotaka kimchi yake iwe nayo). Baada ya kuandaa inawekwa katika chombo kisichopitisha hewa humo ndani microorganisms wataconsume sugar iliyo ndani ya cabbage anaerobocally na kufanya Fermentation ya cabbage.

Baada ya siku 2-3 kimchi itakua tayari kwa ajili ya kutumika kama side dish. Ila inakua chumvi nyingi sana pia ni chachu haswa kiasi kwamba wabongo tulivyozoea mpaka mboga itiwe nyanya na mafuta nawahakikishieni wabongo wengi hawawezi kutumia hio kitu ya kuitwa Kimchi ila ni rahisi kuitengeneza mtu yoyote anaweza iandaa nyumbani kwake
Kimchi ni tamu sana ukila na wali na nyama ya kukaanga,mimi ni mdau nikiitamani naifataga pale ada estate nyuma ya saifee kuna restraurant ya wakorea tena ingine babeba take away naila nyumbani taratibu!
 
Hi ndo nimeinasa leo, kiufupi ni hatari 🔥🔥 inaitwa royal gambler 2016
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom