Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mpaka leo sijafanikiwa kupata season 2 ya Money heist si nkiri, netnaija wala kimoitv kote huko haipo. Msaada tafadhali
 
Story ni nzuri ila walivyoipotray haisisimui. Kuna siku niliomba recommendation huku ya series zinazofanana na Vagabond mdau akamention hiyo. Nilikuwa disappointed baada ta kuiangalia.
Kweli tunatofautiana kwenye Hili kwangu hiyo series ipo kwenye top 5 ya korean drama zangu za muda wote nimependa story line pamoja matukio yake ikiwemo ule uwezo wa akili wa yule sterling kudili na yule no 1 kwangu nilipenda Sana hii idea.Ukisema hii ni ya kawaida drama ngapi unazozijua wewe ni Kali kuliko hii The last ukiondoa Vagabond, The mouth, Innocent defendant, Iris?
 
9/11
Hapa umeshaangalia ngapi?

Flower of the Prison

Love in the Moonlight

Hwarang: Poet Warrior Youth

Arang and the Magistrate

Iljimae

Shine or go crazy

Faith

Rookie Historian Goo Hae Ryung

My Sassy Girl

Queen for 7 Days

100 Days My Prince
 
Kwani kuna tatizo gani kwenye Hilo swali niliomuuliza?
Kama mtu ameipenda drama ameipenda, Kama hajaipenda itabaki kuwa hivyo...unapokuwa unataka akupe sababu lengo ni nini? Kwa mfano mimi nikikupa sababu za kutoipenda Defendant wewe sababu hizo zinakusaidia nini? Wewe si umeipenda endelea kuipenda hivyohivyo, Mimi ambae sijaipenda nitaendelea kutoipenda hata kama utaipamba kwa sababu milioni

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yanayoendelea pale SM Entertainment ni kama tunayoonaga kwenye dramas visa vya Chaebol families mpwa anafanya visa kumng'oa uncle wake CEO kwenye reli kwa kumchafua reputation yake
 
Ipo siku wataitungia story tufaidi zaidi😂😂😂😂
Yanayoendelea pale SM Entertainment ni kama tunayoonaga kwenye dramas visa vya Chaebol families mpwa anafanya visa kumng'oa uncle wake CEO kwenye reli kwa kumchafua reputation yake
 
Kweli tunatofautiana kwenye Hili kwangu hiyo series ipo kwenye top 5 ya korean drama zangu za muda wote nimependa story line pamoja matukio yake ikiwemo ule uwezo wa akili wa yule sterling kudili na yule no 1 kwangu nilipenda Sana hii idea.Ukisema hii ni ya kawaida drama ngapi unazozijua wewe ni Kali kuliko hii The last ukiondoa Vagabond, The mouth, Innocent defendant, Iris?

Yeah nahisi tunatofautiana, mimi napenda korean series zenye business lessons ndani yake. Jinsi wanavyounda kampuni from scratch hadi kuja kuwa empires, competition, revenge, scandals etc. Kwangu series kali nilizowahi kuangalia ukijumlisha na ulizozitaja ni City Hunter, The Heirs, 3 Days, 2 Weeks, Moon Lovers, Boys Over Flowers, Penthouse, Start Up, Itaewon Class
 
Startup nzuri sana, romance yake sikuipenda sana ila kwenye masuala mengine iko perfect

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mac Alpho Cheki hizi hautajuta "The last" incarnation of money, woman of 9.9 billion dollars, dangerous wife hizi ni suspect and thriller

VIP , fates and furies na Love's ni romance drama kali mno ingawa sio mapenzi Sana wa romance genre za kikorea kwasababu zinakuwaga na utoto mwingi ila hizi nimezikubali za kibabe zina storyline nzuri Sana na matukio ya kusisimua
Hapo juu sijaicheki Dangerous wife nadhani hii inafaa, hapo chini hizo ndo bado sijaziangalia zote.

Asante kwa recommendations..!
 
Yeah nahisi tunatofautiana, mimi napenda korean series zenye business lessons ndani yake. Jinsi wanavyounda kampuni from scratch hadi kuja kuwa empires, competition, revenge, scandals etc. Kwangu series kali nilizowahi kuangalia ukijumlisha na ulizozitaja ni City Hunter, The Heirs, 3 Days, 2 Weeks, Moon Lovers, Boys Over Flowers, Penthouse, Start Up, Itaewon Class
Ile Boys over flower ilichezwa ikaa mkao, storyline nzuri lakini pia wasanii wote walijua kuuvaa uhusika wao vizuri.

Kwa thriller movies, IRIS 1 & VAGABOND nazipa heshima , japo ni moja kati ya drama ambazo zimeisha KIPUMBAVU sana. Mpaka leo sipati majibu kwanini project kali kama zile walizikamilisha hovyohovyo vile.
 
Back
Top Bottom