Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Baada ya kuhangaika na Snowdrop nataka drama moja matata sana itakayofanya nisahau maumivu, nicheke hadi majirani waje kuniuliza kulikoni. Naombeni mapendekezo ila najua yatakuwa magumu maana romcom nyingi nimeangalia, isiwe historical.
 
Baada ya Vengeance Of The Bride kuisha moto unaofuata ni Woman In Veil kwa teaser zake inaonekana ni kali zaidi.

Sema kutazama hizi drama kama ongoing ni stress sana hasa ikiwa ina heartbreaking events kwa main character View attachment 2535969
6008xP_4f.jpg
 
Back
Top Bottom