Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Inno na drama zake ni sawa na mtu anayeishi gheto la chumba kimoja akifungua macho tu anaziona mali zake zoote bila kuhangaika. Drama zake chache sana hapo kasahau innocent defendant
Jamaa yenu huyo anafurahisha na Last yake
 
Inno na drama zake ni sawa na mtu anayeishi gheto la chumba kimoja akifungua macho tu anaziona mali zake zoote bila kuhangaika. Drama zake chache sana hapo kasahau innocent defendant
Imeangaliwa na watu wengi ndio maana sijaweka kwenye list
 
Ila wakorea wamezidi bwana duuh yaani hata nguo mimi naona haziwapendezi kwa sababu wapo flat mno...mbele na nyuma kunafanana loh
Hapa unasemaje
Huyu ni Mchina
Screenshot_20230322-235419~2.jpg
 
Hiyo noma sana pia kazi ni kwako sasa nipe na wewe list yako
Siwezi kumbuka zote nlianza zaman sana kuangalia
Jumong
Six flying dragons
Jackpot
Moon lovers
Red sleeves..

Heartless city
Criminal minds
Bad guys
City hunter
Devil judge
Profiler
Vagabond
Squid game

Boys over flowers
School
Weight lifting fairy
Dream high

Crash landing on you
Penthouse season 1
World of the married
My love from another star

Nimeweka kimakundi ki historia, Action, ki shule izo nliangalia zaman, na story

Nyingine nimesahau
 
Huyu tako hana ila angalau wachina atleast nawaona kidogo wanatako
Ila hao ndio mabingwa wa kutengeneza dawa za kukuza matako wao hawatumii then wanawaletea waafrika.

Uzuri wa mwanamke sura hayo ni extra ndio maana hakuna mashindano ya ulimbwende Duniani wanayoangalia makalio.

Hayo ni kivutio kwa watoto wa Farao[emoji23][emoji23]

Ila huwezi amini hizo umbo za mstimu nimetokea kuzielewa hadi nikipita mtaani nikiona wenye misambwanda naona kama ni kilema hicho[emoji23]
 
Back
Top Bottom