stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 198
- 216
Npita naona mapichapicha hta siyaelewagi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua napenda drama za kikorea ila saiz wameishiwa stori, wamehamia kucheza stori za kufikirika mfanoKama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Ajiangalie asije akajikuta analiwa yeyeAikule
Duh pole. Mimi pia imegoma kabisa, ngoja nikomae na hizihizi mb 300Imekataa
Na wamekula 750 yangu
Ni
Nimejaribu siku mbili mfululizo
Duh pole. Mimi pia imegoma kabisa, ngoja nikomae na hizihizi mb 300
Ushamba mzigo, hizo fantasy drama hazipo Korea tu zipo kote. Nikushauri tu (in Dulla's voice) kabla hujaanza kuangalia drama hakikisha unaangalia ni genre gani uchague kama uingalie au uachane nayo....tunaoangalia drama kwaajili ya burudani ndio mambo tunapendaga hayo [emoji16]Nilikua napenda drama za kikorea ila saiz wameishiwa stori, wamehamia kucheza stori za kufikirika mfano
i) mtu anaishi maisha ya mbele au nyuma ( time traveller) mfano wa movie ni FAITH
ii)Mtu anabadilika kuwa samaki, mbwa, chura, mfano mzur ni MY GIRLFRIEND IS GUMINHO
iii)Watu wa kutengeneza mfano ktk MR, ROBOT
iv)Mtu kufa akarudi dunian mfano LOVE IS REBORN
SO uongo kama huu umenifanya niache kuangalia drama zao kwakel wabadilike zaman walikua vizur sana
Hwaiting [emoji123]Nami nakomaa na ile tu
Acha uongo wako hizo drama ulizozitaja mwanzo zina miaka zaidi ya 12 tangu zitoke sasa sijui unazungumzia zamani ipi.[emoji23]Nilikua napenda drama za kikorea ila saiz wameishiwa stori, wamehamia kucheza stori za kufikirika mfano
i) mtu anaishi maisha ya mbele au nyuma ( time traveller) mfano wa movie ni FAITH
ii)Mtu anabadilika kuwa samaki, mbwa, chura, mfano mzur ni MY GIRLFRIEND IS GUMINHO
iii)Watu wa kutengeneza mfano ktk MR, ROBOT
iv)Mtu kufa akarudi dunian mfano LOVE IS REBORN
SO uongo kama huu umenifanya niache kuangalia drama zao kwakel wabadilike zaman walikua vizur sana
Mnakwama wapiDuh pole. Mimi pia imegoma kabisa, ngoja nikomae na hizihizi mb 300
Labda simu nazo ni shida jameni[emoji16]Mnakwama wapiView attachment 2587539
Einstein77 Kuna baadhi zipo poa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo mfano wa kazi safi zilizotoka hivi karibuni kuna "Big mouth" ni Kali kuanzia story mpaka mpangilio wa matukio kuna nyingine inaitwa "The glory" alafu kuna hii "Pandora beneath the paradise" ni on going drama ni Kali mno kila episode inapoisha una kuwa nakimuwemuwe wa kujua next episode itakuajeNilikua napenda drama za kikorea ila saiz wameishiwa stori, wamehamia kucheza stori za kufikirika mfano
i) mtu anaishi maisha ya mbele au nyuma ( time traveller) mfano wa movie ni FAITH
ii)Mtu anabadilika kuwa samaki, mbwa, chura, mfano mzur ni MY GIRLFRIEND IS GUMINHO
iii)Watu wa kutengeneza mfano ktk MR, ROBOT
iv)Mtu kufa akarudi dunian mfano LOVE IS REBORN
SO uongo kama huu umenifanya niache kuangalia drama zao kwakel wabadilike zaman walikua vizur sana
Kuna baadhi zipo poa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo mfano wa kazi safi zilizotoka hivi karibuni kuna "Big mouth" ni Kali kuanzia story mpaka mpangilio wa matukio kuna nyingine inaitwa "The glory" alafu kuna hii "Pandora beneath the paradise" ni on going drama ni Kali mno kila episode inapoisha una kuwa nakimuwemuwe wa kujua next episode itakuNilikua napenda drama za kikorea ila saiz wameishiwa stori, wamehamia kucheza stori za kufikirika mfano
i) mtu anaishi maisha ya mbele au nyuma ( time traveller) mfano wa movie ni FAITH
ii)Mtu anabadilika kuwa samaki, mbwa, chura, mfano mzur ni MY GIRLFRIEND IS GUMINHO
iii)Watu wa kutengeneza mfano ktk MR, ROBOT
iv)Mtu kufa akarudi dunian mfano LOVE IS REBORN
SO uongo kama huu umenifanya niache kuangalia drama zao kwakel wabadilike zaman walikua vizur sana
Jamaa amejaribu kujenga hoja ila hayupo sahihi kwa asilimia inaweza ikawa kweli kwamba kiasi fulani wakorea hawatoi drama kali nyingi kama zamani lakini kuna drama zipo Kali kwa kipindi hiki hiki anachoponda sema tu hajabahatika kuziona mimi binafsi tangu nicheki innocent defendant, Vagabond sikufikiri wakorea watatoa kazi zingine nzuri lakini mwaka Huu wametupa Big mouth, kuna The glory pia kuna hii Pandora beneath the paradise nayo ni konyo n.k jamaa nilichogundua ni kwamba anachangamoto ya genre kabla ujacheki drama ni vizuri kuangalia genre unayoipenda mfano binafsi siwezi kuangaika na drama zenye genre ya fantasy wakati najua sizipendi.Acha uongo wako hizo drama ulizozitaja mwanzo zina miaka zaidi ya 12 tangu zitoke sasa sijui unazungumzia zamani ipi.[emoji23]
Wameishiwa story kiaje na hali kuna historical na modern dramas nzuri zisizo na sifa ulizozitaja hapo
Unapozungumzia Gumiho ni Mythical nine tailed fox sio kama mbwa unaowajua wewe wa mtaani kwenu.
Pia leta drama ya mtu anabadilika kuwa chura hapa.
Kuhusu samaki wa kwenye movies sio Perege unaowajua wewe ni Mermaids ambao hawapo kwa movies za kikorea tu utawakuta na kwenye movies za mataifa mengine.
Ile Siren ni ya Kikorea?[emoji23][emoji23][emoji23]
Robots utawakuta kote tena kote hasa kwa Wazungu sijui nao wana Ukorea[emoji23][emoji23]
Time travelling nayo haipo kwenye Kdramas tu
Kingine fantasy zinaexist kote hata ukienda Philippines na China zipo sana.
Korean Dramas sio kila mtu lazima aangalie,wakongwe wa kupenda dramas hawachangui genre.
So yawezekana you don't belong to kdramas rudi kwa Wamarekani ukawaangalie akina Thor tu.
Hata jamaa yetu mzee wa tastes akiona andiko lako atacheka kwa dhati[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umemaliza kila kitu niongeze nini tenaAcha uongo wako hizo drama ulizozitaja mwanzo zina miaka zaidi ya 12 tangu zitoke sasa sijui unazungumzia zamani ipi.[emoji23]
Wameishiwa story kiaje na hali kuna historical na modern dramas nzuri zisizo na sifa ulizozitaja hapo
Unapozungumzia Gumiho ni Mythical nine tailed fox sio kama mbwa unaowajua wewe wa mtaani kwenu.
Pia leta drama ya mtu anabadilika kuwa chura hapa.
Kuhusu samaki wa kwenye movies sio Perege unaowajua wewe ni Mermaids ambao hawapo kwa movies za kikorea tu utawakuta na kwenye movies za mataifa mengine.
Ile Siren ni ya Kikorea?[emoji23][emoji23][emoji23]
Robots utawakuta kote tena kote hasa kwa Wazungu sijui nao wana Ukorea[emoji23][emoji23]
Time travelling nayo haipo kwenye Kdramas tu
Kingine fantasy zinaexist kote hata ukienda Philippines na China zipo sana.
Korean Dramas sio kila mtu lazima aangalie,wakongwe wa kupenda dramas hawachangui genre.
So yawezekana you don't belong to kdramas rudi kwa Wamarekani ukawaangalie akina Thor tu.
Hata jamaa yetu mzee wa tastes akiona andiko lako atacheka kwa dhati[emoji23]
Aliye na link ambapo naweza kudownload Deep Rooted Tree naomba aishee hapa.
nkiri.com