Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mambo ya taste magumu ila nakushauri uanze na Under the Queen's umbrella
Under The Queen's Umbrella ni ya mwaka jana.

Za mwaka huu ni Our Blooming Youth(Complete),The Secret Romantic Guesthouse(ongoing) na Joseon Lawyer(ongoing)

Ila kwa wapenzi wa historical dramas huu mwaka ni wetu kuna nyingine zaidi ya 5 zinatoka huu mwaka hasa Handwritten ya Seo In Guk unaambiwa itakuwa na action si ya kitoto
 
Ooh nimechanganya madesa kumbe
 
Mwaka jana historical ilikua sio kivile. Ile. King of Tears Lee Bangwon ni ya mwaka jana?
 
Idd menu Hwajung hope mzanzibar hatakausha mualiko
Jumamosi inshaallah.
Nimeshakuandalia treya 1 ya mayai ya kanga.
IMG-20230420-WA0019.jpg
 
Wapenzi wa ongoing mnazionaje drama ya Bora Deborah? Na Stealer_The_Treasure_Keeper? Mi naona Bora Deborah nilitegemea kutakuwa na comedy na story kali lakini Episodes 2 tu za mwanzo nahisi kutovutiwa tena( labda nisubiri hadi iishe),Stealer;The Treasure Keeper Plot iko speed mno lakini angalau ni interesting nishacheki Episodes 2

Nazoangalia kwa sasa ni
Yonder

Doctor Cha(Comedy za kutosha + story ya kuvutia)

The real has come

Apple of my eye

Huku nikisuburia Dr Romantic S3 na Black night
 
Dah kweli tunatofautiana tastes mbona Bora Deborah Kwangu tamu sana nishaangalia hadi ya 3
 
Idd menu Hwajung hope mzanzibar hatakausha mualiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimegive up Yi san sababu ya mb nyingi kule dramacool na episode tele.
Hii Yi San nilijaribu kuifuatilia kwenye sites ambazo hazitumii Mb's nyingi, nikaipata KimoiTv tu ila ilikuwa ni raw nikalazimika kuitafuta dramanice kwenye Mb's kidebe.

Ilikuwa ni mwaka jana sijui kwasasa, labda tayari wameiwekea subtittles.
 
Back
Top Bottom