Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mambo ya taste magumu ila nakushauri uanze na Under the Queen's umbrellaAlchemy of soul nimeangali. Katika zilizobaki Ipi nzuri zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya taste magumu ila nakushauri uanze na Under the Queen's umbrellaAlchemy of soul nimeangali. Katika zilizobaki Ipi nzuri zaidi
Under The Queen's Umbrella ni ya mwaka jana.Mambo ya taste magumu ila nakushauri uanze na Under the Queen's umbrella
Ooh nimechanganya madesa kumbeUnder The Queen's Umbrella ni ya mwaka jana.
Za mwaka huu ni Our Blooming Youth(Complete),The Secret Romantic Guesthouse(ongoing) na Joseon Lawyer(ongoing)
Ila kwa wapenzi wa historical dramas huu mwaka ni wetu kuna nyingine zaidi ya 5 zinatoka huu mwaka hasa Handwritten ya Seo In Guk unaambiwa itakuwa na action si ya kitoto
Mwaka jana historical ilikua sio kivile. Ile. King of Tears Lee Bangwon ni ya mwaka jana?Under The Queen's Umbrella ni ya mwaka jana.
Za mwaka huu ni Our Blooming Youth(Complete),The Secret Romantic Guesthouse(ongoing) na Joseon Lawyer(ongoing)
Ila kwa wapenzi wa historical dramas huu mwaka ni wetu kuna nyingine zaidi ya 5 zinatoka huu mwaka hasa Handwritten ya Seo In Guk unaambiwa itakuwa na action si ya kitoto
Ilitoka December 2021 unaweza kusema ni ya 2021-2022Mwaka jana historical ilikua sio kivile. Ile. King of Tears Lee Bangwon ni ya mwaka jana?
Mwaka ulivyoanza ilibidi nipumzike kuangalia wakorea maana mwaka jana nimeangalia drama 30+Ilitoka December 2021 unaweza kusema ni ya 2021-2022
Jumamosi inshaallah.Idd menu Hwajung hope mzanzibar hatakausha mualiko
Au ukatembee saudia, ukale eid kesho na utapata kuonana na cristiano ronaldoAmazing
Dah kweli tunatofautiana tastes mbona Bora Deborah Kwangu tamu sana nishaangalia hadi ya 3Wapenzi wa ongoing mnazionaje drama ya Bora Deborah? Na Stealer_The_Treasure_Keeper? Mi naona Bora Deborah nilitegemea kutakuwa na comedy na story kali lakini Episodes 2 tu za mwanzo nahisi kutovutiwa tena( labda nisubiri hadi iishe),Stealer;The Treasure Keeper Plot iko speed mno lakini angalau ni interesting nishacheki Episodes 2
Nazoangalia kwa sasa ni
Yonder
Doctor Cha(Comedy za kutosha + story ya kuvutia)
The real has come
Apple of my eye
Huku nikisuburia Dr Romantic S3 na Black night
Single movie kuwa na mb chini ya 300 ni nadraNaombeni jaman link ya single movie ya korea inaitwa The Prison ya 2017 isiwe na mb kubwa angalau iwe chini ya 300MB
Mbona nimecheki nyingi Sana ambazo zipo chini ya hapo kuna inaitwa secret obsession hii ya kizungu nimecheki kwa 230MBSingle movie kuwa na mb chini ya 300 ni nadra
Nenda Kimotv labda unaweza kuipataMbona nimecheki nyingi Sana ambazo zipo chini ya hapo kuna inaitwa secret obsession hii ya kizungu nimecheki kwa 230MB
Haipo uko nkiri wala netnaija ndio maana nikaja hapa nisaidiwe nilicheki kisaasian nikakuta mzigo una mb kubwa Sana nikaachana napoNenda Kimotv labda unaweza kuipata
Zenye mb chache nyingi ni encoded ila movie ya masaa mawili ukipata kwa mb chache ni 300 kamili.Haipo uko nkiri wala netnaija ndio maana nikaja hapa nisaidiwe nilicheki kisaasian nikakuta mzigo una mb kubwa Sana nikaachana napo
Haipo uko nkiri wala netnaija ndio maana nikaja hapa nisaidiwe nilicheki kisaasian nikakuta mzigo una mb kubwa Sana nikaachana napo
Asante Sana ngoja nijaribukissiassian.li kwenye beta ina mb 360
Hii Yi San nilijaribu kuifuatilia kwenye sites ambazo hazitumii Mb's nyingi, nikaipata KimoiTv tu ila ilikuwa ni raw nikalazimika kuitafuta dramanice kwenye Mb's kidebe.Idd menu Hwajung hope mzanzibar hatakausha mualiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegive up Yi san sababu ya mb nyingi kule dramacool na episode tele.