Mmakuti
Senior Member
- Oct 20, 2016
- 168
- 239
Yes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes
Mimi nasubiri iishe ndio nitazame, inaonekana Kim bum kaupiga mwingi sana
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Huyo mzee nilimuona kwa mara ya kwanza kwenye The Great King Sejong, alifanya vizuri mno kwenye ile kazi. Alionesha uwezo mkubwa mno wa kisiasa kwenye drama ile.
Hiyo money game nitaitafuta Asante kwa recommendHuyo mzee nilimuona kwa mara ya kwanza kwenye The Great King Sejong, alifanya vizuri mno kwenye ile kazi. Alionesha uwezo mkubwa mno wa kisiasa kwenye drama ile.
View attachment 2643742
Baadae nikamkuta kwenye
Money Game ndiye aliyekuwa adui mule ndani. Alitisha sana alionesha ukomavu kwenye siasa kiuchumi
Hii money game ndio drama ambayo niliinjoy mambo ya misosi na soju, mara baada ya wafanyakazi wa wizara ya fedha pindi wanapomaliza majukumu yao lazima wakajipongeze jioni. Au asubuhi lazima msosi wa maana kabla ya kuanza majukumu yao.
View attachment 2643735
Ni kazi nzuri, ila inahusiana na mambo ya hela hela.Hiyo money game nitaitafuta Asante kwa recommend
Money flower nimeionaNi kazi nzuri, ila inahusiana na mambo ya hela hela.
Nakuongezea na Money Flower ya Jang hyuk. I
Japo tunatofautiana tastes jaribu hiziHabari wakuu. Nimekuwa busy sana na mimi pia mdau wa huu uzi bali ni mdau mkubwa wa Korean drama (Historical) nimeangalia nyingi sana ila hizi morden huwa hazinikoshi napenda zile za kizamani harakati nyingi mapanga shaaaaa.
So far Jumong, Six Flying Dragons, Tree With Deep Root, Baek Dong So, Thr Moon that Embraces the Sun n.k ni master pieces.
Sasa shida yangu naomba kwanza mnipe njia ya kudownload hivi series kupitia simy maana naona dramacool nikitafuta sielewi. La pili naomba mnipe historical dramas nyingi nzuri maana nipo likizo na nina bundle lakutosha. Nina kama GB 83 hivi nadhani naweza kuangalia drama nyingi.
Mac Alpho Khantwe DAEMUSHIN
Karibu mdogo wangu..umemisika. Naona suggestions za drama umeshapata. Kuhusu wapi kwa kupakua ingia nkiri.com au Kimoi tv mimi ndio hutumia hizo website mbili. Nkiri naipenda kwa sababu mb chache na quality nzuri , kasoro yake ni kuwa kuna drama nyingi hazipo. Kimoi nayo mb zao si nyingi ingawa quality sina uhakika sana...huwa naenda huko kama drama ninayoitaka haipo nkiri.Habari wakuu. Nimekuwa busy sana na mimi pia mdau wa huu uzi bali ni mdau mkubwa wa Korean drama (Historical) nimeangalia nyingi sana ila hizi morden huwa hazinikoshi napenda zile za kizamani harakati nyingi mapanga shaaaaa.
So far Jumong, Six Flying Dragons, Tree With Deep Root, Baek Dong So, Thr Moon that Embraces the Sun n.k ni master pieces.
Sasa shida yangu naomba kwanza mnipe njia ya kudownload hivi series kupitia simy maana naona dramacool nikitafuta sielewi. La pili naomba mnipe historical dramas nyingi nzuri maana nipo likizo na nina bundle lakutosha. Nina kama GB 83 hivi nadhani naweza kuangalia drama nyingi.
Mac Alpho Khantwe DAEMUSHIN
Dong YiHabari wakuu. Nimekuwa busy sana na mimi pia mdau wa huu uzi bali ni mdau mkubwa wa Korean drama (Historical) nimeangalia nyingi sana ila hizi morden huwa hazinikoshi napenda zile za kizamani harakati nyingi mapanga shaaaaa.
So far Jumong, Six Flying Dragons, Tree With Deep Root, Baek Dong So, Thr Moon that Embraces the Sun n.k ni master pieces.
Sasa shida yangu naomba kwanza mnipe njia ya kudownload hivi series kupitia simy maana naona dramacool nikitafuta sielewi. La pili naomba mnipe historical dramas nyingi nzuri maana nipo likizo na nina bundle lakutosha. Nina kama GB 83 hivi nadhani naweza kuangalia drama nyingi.
Mac Alpho Khantwe DAEMUSHIN
Nimevutiwa zaidi na hiyo sentesi ya mwisho.[emoji1]Karibu mdogo wangu..umemisika. Naona suggestions za drama umeshapata. Kuhusu wapi kwa kupakua ingia nkiri.com au Kimoi tv mimi ndio hutumia hizo website mbili. Nkiri naipenda kwa sababu mb chache na quality nzuri , kasoro yake ni kuwa kuna drama nyingi hazipo. Kimoi nayo mb zao si nyingi ingawa quality sina uhakika sana...huwa naenda huko kama drama ninayoitaka haipo nkiri.
Baada ya kusema hayo hebu tuongee hizo gb 83 umezipataje mwenzetu [emoji3]
[emoji3]Nimevutiwa zaidi na hiyo sentesi ya mwisho.[emoji1]
Dada nina mchongo haramu kama uko yente nitafute nikupe ramaniKaribu mdogo wangu..umemisika. Naona suggestions za drama umeshapata. Kuhusu wapi kwa kupakua ingia nkiri.com au Kimoi tv mimi ndio hutumia hizo website mbili. Nkiri naipenda kwa sababu mb chache na quality nzuri , kasoro yake ni kuwa kuna drama nyingi hazipo. Kimoi nayo mb zao si nyingi ingawa quality sina uhakika sana...huwa naenda huko kama drama ninayoitaka haipo nkiri.
Baada ya kusema hayo hebu tuongee hizo gb 83 umezipataje mwenzetu [emoji3]
1. Koguryo KingdomSasa shida yangu naomba kwanza mnipe njia ya kudownload hivi series kupitia simy maana naona dramacool nikitafuta sielewi. La pili naomba mnipe historical dramas nyingi nzuri maana nipo likizo na nina bundle lakutosha. Nina kama GB 83 hivi nadhani naweza kuangalia drama nyingi.