Hahaha unajeuri sana wewe,
Kuna kazi nilitazama mwaka 2020 inatwa
TEARS OF THE DRAGON iliandaliwa na
KBS1. Ilitoka
mwaka 1996 ina episodes
159. Mie nilitazama mpaka episode ya 53 maana hapo ndio
kissasian walipoishia kuweka Subtitles. Habari njema ni kuwa sasa hivi episodes zote zina Subtitles na tayari kazi inapatikana pia
Netflix soon nitaendelea nayo. Na nina kazi kibao kwenye playlist na bundle hili Malkia wa Jeju Island tutafika, enzi zile unakuta nadownload mpaka episode 100 kwa siku moja kisha kazi inabaki wewe na muda wako tu, hizi nishasahau kabisa kudownload naangalia online. GB 1 T.sh 3000/= nacheki episode 3-5 . Lakini pamoja na hayo haininyimi kumalizia hii kazi ya
TEARS OF THE DRAGON View attachment 2697684
Hii kazi ya mwana dada
Ha ji won inaitwa
HWANG JINI Ilitoka mwaka 2006 ipo kwenye playlist yangu pia. Sina mashaka nae nilimwona kwa mara ya kwanza kwenye
EMPRESS KI, DAMO, The King 2 Hearts na Tears of the dragon
Ukweli ni kuwa nilitegemea kuwa vijana wa sasa watakua the best maana wamekuzwa na watu ambao ni wajuzi kweli kweli, lakini imekuwa tofauti sana na matarajio yangu.juzi tena nilipokuwa natazama Documentary yangu pendwa toka Al Jazeera English iitwayo EAST 101 walikuwa wanaeleza kuwa wazee wengi wa South Korea hawa- enjoy tena Nchi yao wanadai Korea hii sio ile waliokuwa wanaijua maana imekuwa na umarekani mwingi tamaduni zao kwa sehemu kubwa zimefifishwa na Tamaduni za magharibi. Wanadai kuwa North Korea ndio Korea halisi ilobaki. Na hata Lugha yao sasa kwa sehemu kubwa inatohoa maneno kutoka kwenye Lugha ya kingereza.
Na hili limeonekana wazi kabisa kwenye drama nyingi za siku hizi hazikugusi kama zile za zamani. Anyway acha niendelee kuimba mapambio labda nami nitapata uteuzi.
View attachment 2697715
Soon nitakupa list ya drama .