Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sasa humo ndo utawaona
YAni shoka moja mtu chini puu kwaheri!
Wenzetu wana akili sana ya kutunza history yao cheki leo hii tunavyoenjoy historia za wenzetu kwenye movies,
Hata sisi tuna historia nzuri ni vile tu hatuheshimu vya kwetu. Tuna historia nzuri Maji maji, Chief Mkwawa, Mwanamalundi, Unju bin unuk, Nyerere, Kifdude bint Baraka, Tip tip, nk

Zote hizi ikifanyika production nzuri na ikihusisha story nzuri na waigizaji mahiri watu watapenda angalia jinsi fictious story ya ODAMA ilivyobamba.
 
Shida hazitakua broad kama za wenzetu maana ujue hawa kipindi cha ufalme wale historians walikua wanarekodi kinachotokea kwa mfalme daily,je huku kwetu hizo zipo?
 
Yeah,ni action,thrilling na romance
Iko episode ya 4 sasa na kwenye hii episode action ndo imeanza rasmi mana ni full vita
Wale mongolians wanatisha kwakweli najikaza tu vile kastory kamenivutia!
Mkuu naomba link ya hii maana siioni Nkiri Wala netnaija
 
Niaje wakuu, natumai mko poa. Nawezaje kupata series inaitwa The Great Queen of Sendeok.
Natanguliza shukurani.
 
Wazee wa Mapazia nimekubali taste zenu[emoji1787]

Aah hii six flying dragon haipoi haiboi

Kwakweli tangu nimeqnza episode 1 sijarukisha
Vitu ka hii ni vipi? alafu uzur bado ipo na quality nzuri

Queen seondok niliacha episode za mwanzo sijui itachanganya huko mbele
 
Weweee uliachaje The great queen? Ni nzuri sana bwana hebu irudie hutojuta kabisa [emoji16]
 
Back
Top Bottom