Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nipo na Tunnel ep 10,
Uwongo wa time travel nimeweka pembeni, nataka tuu kujua kwanini muuaji anaua wanawake wenye sketi
 
Lady Gil Chae 3 - Young Master Lee Jang Hyun 2
wanawake muache ukatili, hata tukiwanyima salamu mutuvumilie.
Daemushin kutoka Kizimkazi.
1693808733792.png
 
Bora nirudi kuangalia za porini, hizi za town ni uchafu mtupu

Nimefika Tunnel ep 15 naona ni vituko vitupu

Mtu katekwa mara ya kwanza, kaokolewa ila muhalifu hajapatikana
Ajabu mtekwaji anarudi kwenye apartment ile ile aliyotekwa , hakuna hata ulinzi wa polisi , ilimradi atekwe tena

Mtekwaji kapiga simu ili mzigo uletwe korea kutoka UK, ajabu polisi wakapata taarifa ila wakashindwa kabisa kutafuta location ya sehemu simu ilipotoka

Detectives wanaenda kumsaka muhalifu wa mauaji ila hawana hata bastola, wanabaki kumkimbiza wee muhalifu simamaaa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lady Gil Chae 3 - Young Master Lee Jang Hyun 2
wanawake muache ukatili, hata tukiwanyima salamu mutuvumilie.
Daemushin kutoka Kizimkazi.
View attachment 2738360
Roho imeniuma mimi hawa
Sijajua huko mbele,ngoja tusubiri
Nimeingia adi website ya mbc kucheki next itatoka lini🤣
Kwa huko kwao nimeona hii ndo drama inatrend kwa sasa
 
Back
Top Bottom