Song Of Bandits :
mnamo septemba 22, Netflix waliachia huo mzigo wenye jumla ya episode 9. Hadithi yake inakurudisha kwenye miaka ya 1900 nchini Joseon (korea). Nyakati ambazo korea walianza kutawaliwa na Japan.
kama unapenda action ngumu zenye ukatili ndani yake, movement za wapiganaji wanaopingana na udhalimu wa kikoloni, jaribu hii hutojutia.
muigizaji mkuu ni kim nam gil (mkuu wa bandits) ambaye kabla ya hapo alikuwa ni askari wa jeshi la japan.
historia yake imeanzia wapi, ichungulie hii drama.
View attachment 2762906
Download Song of the Bandits S01 (Episode 7-9 Added) | Korean Drama for free at nkiri.com. Download all the greatest blockbuster Movies at nkiri.com
nkiri.com