KBS DRAMA AWARDS 2023
Usiku wa leo kwa saa za korea Legendary
Choi Soo Jong ameshinda tuzo ya daesang (grand prize) kwa mwaka 2023, hii itakuwa ni mara ya nne kushinda tuzo hiyo.
The Legend of Ambition - 1998
Taejo Wang Geon - 2001,
Dae Jo yeong -2007.
Choi ameshinda tuzo hiyo baada ya miaka 16 kupita tokea abebe tuzo kama hiyo kupitia tamthilia ya
DAE JO YOUNG.
Choi ameshinda tuzo hiyo kwa mwaka 2023 kupitia drama inayoitwa
GORYEO- KHITAN WAR inayoendelea kuonyeshwa kila jumamosi na jumapili ambapo ameigiza uhusika wa General Gang Gam Chan.
licha ya kuwa wanaume, choi soo jong na Kim Dong-jun (ameigiza uhusika wa mfalme )wameshinda tuzo ya best couple
Muandishi
Lee Jung Woo (ameandika goryeo khitan war) amebeba tuzo ya muandishi bora, mwaka jana aliandika Taejo Lee Bang won drama
hongera kwa washindi
hongera ahjussi choi
View attachment 2858908