Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Bando ni gumu kaka.Wengine tuligusa almost zote za mwaka jana mfano mimi nilicheki kama 35 hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bando ni gumu kaka.Wengine tuligusa almost zote za mwaka jana mfano mimi nilicheki kama 35 hivi
Kudate miaka mingi sana bila ndoa watu wanachokana pia yule Dahye ndio sababu ya relationship kufika hata hiyo miaka 13 maana sparks zilianza kupotea miaka ya mwisho ila Dahye alikuwa hataki kusikia kitu breakup alikuwa obsessive hasikii wala haoni.So alipambana kuishikilia relationship ila mwisho akaona bora tu amuachilie tu jamaa aende maana begging for love nayo ni utumwa.
Kama mambo yasipoenda vizuri kwa jamaa ajiweke karibu kwa Kwang Tae wanaonekana kuwa na chemistry nzuri ndani ya muda mchache.
But niwe mkweli tu tangu nianze kuangalia hii show mimi ni shabiki mkubwa wa reunion kuliko new love.
Safari bado ndefu episode 1 kila wiki bila shaka tutamaliza April mwishoni
Bando ni gumu kaka.
Ila love story ya hao watu dah unaambiwa walikutana wakiwa trainees kwenye company flani inasemekana ni SM Entertainment,baada ya relationship yao kufichuka wakafukuzwa kama unavyojua idols kudate ni jinai kwa Korea,so girlfriend alienda sehemu nyingine akaja kudebut na BESTie 2013 ila boyfriend yeye ndoto zake zilikatika ila akawa supporter wa gf wake kuna time akawa kama acting manager wa group ili tu awe jirani na kipenzi chake.Tatizo re union zinakuaga bitter unataman hata wangeanza upya
Ikifikaga ep 3 huwa moto alfu kuanzia 10 makasiriko
Sema once a week mbona mtihani
Huyo hi hyw sijui unadhan atarudiwa[emoji2]
Sema tupo mbali tu mwenzenu nafaidi kila siku nateleza na gb hadi 3Gumu sana Mkuu
Sema tupo mbali tu mwenzenu nafaidi kila siku nateleza na gb hadi 3
Ila love story ya hao watu dah unaambiwa walikutana wakiwa trainees kwenye company flani inasemekana ni SM Entertainment,baada ya relationship yao kufichuka wakafukuzwa kama unavyojua idols kudate ni jinai kwa Korea,so girlfriend alienda sehemu nyingine akaja kudebut na BESTie 2013 ila boyfriend yeye ndoto zake zilikatika ila akawa supporter wa gf wake kuna time akawa kama acting manager wa group ili tu awe jirani na kipenzi chake.
Waliachana mara 2 2014 wakarudiana baada ya mwezi mmoja,2018 pia wakaachana wakarudiana baada ya miezi 3,na season 3 imekuwa filmed mwezi wa 10 na walikuwa wameachana June ina maana breakup yao ina miezi 4 kabla ya kuingia mjengoni.
Anyway ntakumaluzia uhondo.
Tukirudi kwa Hwi Hyun huyo ana taste kama za Jung Kwon wa season 1 alifall kwa noona akajikuta hajamove on ila katikati akaanza kumfukuzia Minyoung,na huyu kijana wetu ana hizo chembe tusubiri tuone watayajenga vipi na Hyewon.
Investment yangu yote naweka hapo nitaumia sana kama mambo yasipoenda vizuri nikimuangalia huyo Bibie situation yake roho inauma hadi mashairi ya wimbo wa One Ring wa Solji yanazunguka kichwani.Jinsi ulivyo ji invest kwenye hilo penz utamuona huyo Da hye anavyopenda tena
Unahis couple yake atakua nan, ulivyoelezea kama Dong jin sijui( yule mpole mpole) anaelekea kua zaid ya 30
Investment yangu yote naweka hapo nitaumia sana kama mambo yasipoenda vizuri nikimuangalia huyo Bibie situation yake roho inauma hadi mashairi ya wimbo wa One Ring wa Solji yanazunguka kichwani.
Unakumbuka zile couple zilizorudiana season 1 na 2
Minyoung alianza kumpenda Jung Kwon ila still kwake ilikuwa ngumu kumuacha Ju Hwi aende ndio maana alisema kwamba hawezi kwenda kwa Jung Kwon kama Ju Hwi anaexist mbele ya macho yake.
Nayeon alianza kumpenda Gyumin but akaanza kuona wivu pale ex wake mzee Baba Doo Hee yupo karibu na mwanamke mwingine wanavaa na matching bracelets.
Na mwisho wa siku akasema kwamba hawezi iache relationship yake na Doo Hee ipotee hivihivi.
Hawa watu relationship yao ni ya milima na mabonde wameachana hata mara 5 na kurudiana pride zinawavaa sana kiasi kwamba kila mmoja anajikuta komando ila wakiwa mbali hakuna anayeweza kuishi bila mwenzake.
Halafu kuna mwamba mmoja round hii yupo comfortable too much anatamba bila shaka ex wake bado hajafika[emoji23][emoji23]
Imetoka tangu jana ila dramanice wanachelewa kuleta hadi wapate subtitlesWe unapenda mahusiano ya hivo
Mi ndo maana zilinikera couple hizo
Kama Nayeon alikua na roho mbaya t[emoji23]
Sema unakumbuka majina we kiboko
Gyumin mpaka leo nimemfollow walimlazimisha tu kulia episode ya mwisho ila hakumtaka ha eun
Hivi kesho ndo inatoka?
Mtandao gani huo kaka?, au ni WiFi?Sema tupo mbali tu mwenzenu nafaidi kila siku nateleza na gb hadi 3
GB 1 si kitu siku hizi.Gumu sana Mkuu
talnam mzigo umefika episode 2&3 View attachment 2865381
Malizia tuhuzunike woteJana nimeshangaaa nimekuta nikashusha ya pili
Ya 3 mb nyingi ila nitashusha leo
Malizia tuhuzunike woteView attachment 2865995
Changu cha moto siwazi kuhusu qualityNdo naelekea kitongani
Changu cha moto siwazi kuhusu quality View attachment 2866237
Hichi kingekuwa cha vpn ningewasogezeaUsifanye hivo
[emoji22]
Iko kimachukua masaa kushusha ep 1 had nachoka
Vitu vyangu hivi ,sas hivi ubize sana hata kucheki episode moja kwa siku shida nikitulia nitaaanza nayo..Hiki chuma nacho ni on going, ila ni 🔥🔥🔥.
👉 Khantwe, D A E M U S H I N, Franky Samuel, Numbisa,
👉 adriz vitu vyako hi I🤒
View attachment 2863063View attachment 2863064
Tangazo linasema part2 itakuwa ni January 5, nimeitafuta sana sijaiona.Hi ni on going- iko episode ya 10, Kali mno🤒
Khantwe, Franky Samuel, Numbisa, Mvaa Kobazi, adriz
View attachment 2863061