Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Maisha bila kitonga yanaendaje huko[emoji23][emoji23]

Wengine bado tunaishi kistaa hatuna wasiwasi
Screenshot_20240206-075405.jpg
 
Elewa NI mwanafunzi tu ,inaweza kuwa advanced level ,Degree ,Master ,Madrasaa nk . Kuna wakati ninaipiga chini Jf , Wakorea na games ili nipambane na masomo yangu nisizingue mitihani..
Safi kabisa Kaka, uki umwa u CEO wa crdb.
👉USI nisahau jobless pro max Mimi🤒
 
Siikubali kabisa hiyo show sijui kwa sababu location ni Marekani!
Nikipata kitonga nitaangalia ya Korea

Nikitazama i am solo kwenye divorced special walikua wanasifia sana love after divorce

Nilipopenda Hawa baada ya show kuisha wanapewa mwenz wa kukaa pamoja Tena aseee[emoji2][emoji2]

Huyo mmoja ana watoto watatu mkaka anae mmoja akaenda Kwa mdada kukaa huo mwenz,wale watoto ni Zaid ya akina junior [emoji1787][emoji1787]. Nasikia wameachana na ni couple ya mapema kutokea mjumban
 
Back
Top Bottom