Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Unaikumbuka jewel in the palace ya mwaka 2004,
lee young ae amekubali ofa ya kuigiza tena kwa mara nyengine uhusika wa dae jang geum baada ya miaka 20 kupita.

drama hiyo itaitwa Uinyeo Dae Jang Geum na inatarajiwa kuonekana mapema mwaka ujao.
View attachment 2889049
Acha niwe mganga mpiga ramri, " hiyo drama haitokuwa nzuri kama ya kwanza" technology kuna namna inaathiri uwezo wa binadamu, they can't give all they've, because of assistance of tech.
 
Bado ipo, na naweka drama kila nikipata nafasi.

M Z A N Z I B A R I rudi kwenye channel tusaidiane kuwapa burudani wapenzi wa drama za kikorea hapa bongo.
Humu ndani Khantwe & Numbisa(wakongwe) wamekuwakilisha vema, bila kusahau Talnam( kizazi kipya).

Hiyo Channel mnanikumbusha Enzi za Stove League, Fiery Priest, Six flying dragon n.k
 
Unaikumbuka jewel in the palace ya mwaka 2004,
lee young ae amekubali ofa ya kuigiza tena kwa mara nyengine uhusika wa dae jang geum baada ya miaka 20 kupita.

drama hiyo itaitwa Uinyeo Dae Jang Geum na inatarajiwa kuonekana mapema mwaka ujao.
View attachment 2889049
Hii ni habari njema kwangu. Hii drama nimeiangalia mara mbili, na hiyo mara ya pili ni mwaka jana.
Naipenda mno!
 
Bila shaka umeangalia show yetu pendwa,nimefikiria kwa kina nikaona hapana ile couple ya Dong Jin acha tu ife yule Bibie aendelee na yake atafute new guy ,aache kumuona mwanaume kama Oxygen kwake kwamba bila yake atakuwa suffocated

we si ndo unashabikia mapenzi gan 13years uwii alaf dong jin hata akirud itakuwa sababu da hye anavo act loh, hye won kashindwa kukaza kila mtu anasifia hwi yuw mcute kaona arudishe majeshi hahaha. couple ya ji won na sae kyun inataka kufanana na zile couple toxic zilizorudiana s01 na s02.
 
Bado ipo, na naweka drama kila nikipata nafasi.

M Z A N Z I B A R I rudi kwenye channel tusaidiane kuwapa burudani wapenzi wa drama za kikorea hapa bongo.
Queen unawakumbuka wale wanafunzi uliowafundisha elimu ya msingi?

kwa sasa wengi wao wameshakhitimu sanaa hii na wengine wamesha anzisha tuition zao binafsi kwa ajili ya kuendeleza elimu hii.

1706879729754.png

bahati nzuri hapa umetoa jawabu kwa mwanafunzi wako, eti machizi 😛😛😛.

muda unakwenda mbio mfano wa kinzhal missile, huwezi amini hilo wazo la kuanzishwa channel limefanyiwa kazi takribani miaka sita iliopita,
siku zinakwenda
  • nakumbuka nilikuwa na uwezo wa kufuatilia drama 10 kwa wiki, Now nahangaika na Goryeo Khitan war kwa wiki nzima, nilijaribu upande wa movies lakini pia zinaniendesha mbio (wiki hii sijaangalia hata movie moja)

muda, muda, muda: hii ndio sababu kubwa zaidi inayoleta uzito wa kulifanyia tena kazi hilo swala la channel.
kuna mengi yamepita hapo kati (ujue tunazungumzia miaka sita).
wengine wanapambana na bando, mimi napambana na muda.

kwanza acha tuangalie hali inavyokwenda, nikiwa tayari nitakwambia.
sijui hiyo siku itakuja?
 
Humu ndani Khantwe & Numbisa(wakongwe) wamekuwakilisha vema, bila kusahau Talnam( kizazi kipya).

Hiyo Channel mnanikumbusha Enzi za Stove League, Fiery Priest, Six flying dragon n.k

[emoji1787][emoji1787] kizaz kipya

Washukuriwe wazungu kwa kulazimisha agenda zao

Nikaibukia korea🫡
 
Hee season 4 duh kuna kamsukosuko nilipata kimenisahaulisha homa za realities achilia mbali family dramas. Kila nikijitahidi kurudisha kasi nashindwa. Wiki ya pili sasa nipo napambana na drama ya the matchmaker
Mateso na ikiwa sio kali unajikuta unaiacha.

Hiyi love aftr divorce s04 ni dating show imeisha
 
Hii ni habari njema kwangu. Hii drama nimeiangalia mara mbili, na hiyo mara ya pili ni mwaka jana.
Naipenda mno!
Director wa Dae Jang Geum alijua kucheza sana na zile scene, main characters wote walijitoa sana kwenye hiyo kazi.
 
Director wa Dae Jang Geum alijua kucheza sana na zile scene, main characters wote walijitoa sana kwenye hiyo kazi.
Hakuna character ambaye simpendi kwenye hiyo drama series.
Moja kati ya drama bora za muda wote.
 
Back
Top Bottom