Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Story nyuma ya hii couple ya Kim Woo Bin(34) na Shin Min-a (39) inagusa sana, licha ya mmoja wao (Woo Bin) kusumbuliwa na Cancer kwa kipindi kirefu hilo halikuwa tatizo kwao na ilimlazimu Shin Min-a kupunguza project zake ili tu awe karibu na jamaa. Tangu 2015- present (miaka 9), celebrity wa bongo na Africa ni ngumu sana.
Ila nilichokuja kugundua ni kwamba, kwenye mahusiano ya Kikorea swala la umri halipo kabisa, mwanamke kumzidi mwanaume miaka 5 -10 ni kawaida sana.
Shin Min-a anamzidi Woo Bin miaka 5.
Ila nilichokuja kugundua ni kwamba, kwenye mahusiano ya Kikorea swala la umri halipo kabisa, mwanamke kumzidi mwanaume miaka 5 -10 ni kawaida sana.
Shin Min-a anamzidi Woo Bin miaka 5.