Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hasa 2016 zilitoka nyingi nzuri sana
Habari Chingu,
Kitambo sijachangia humu jukwaani,2024 imeanza vizuri baadhi ya drama kali zishatoka na zinginezo zinakuja
Hizi drama za Side country zina vibe flani hivi ya kipekee( Nimemalizana na Welcome to Samdaril,imekuwa project yangu ya kwanza kuimaliza kwa mwaka 2024)
Natarajia kuanza Doctor Slump,mara nyingi drama yenye medical huwa navutiwa nazo,huku niiendelea kufata recommendation za wengine.
Hivi ni kweli? Inasadikika drama nyingi zilizotoka mwaka 2016 na 2018 ndio bora zaidi katika industry ya drama za korea?