Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hasa 2016 zilitoka nyingi nzuri sana
Habari Chingu,
Kitambo sijachangia humu jukwaani,2024 imeanza vizuri baadhi ya drama kali zishatoka na zinginezo zinakuja

Hizi drama za Side country zina vibe flani hivi ya kipekee( Nimemalizana na Welcome to Samdaril,imekuwa project yangu ya kwanza kuimaliza kwa mwaka 2024)

Natarajia kuanza Doctor Slump,mara nyingi drama yenye medical huwa navutiwa nazo,huku niiendelea kufata recommendation za wengine.

Hivi ni kweli? Inasadikika drama nyingi zilizotoka mwaka 2016 na 2018 ndio bora zaidi katika industry ya drama za korea?
 
Nami nasubiria wa kunipa huo ujuzi

LTNS ndo nini jamani
Nimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kazi

LTNS, long time no sex, hapa ni mambo unayoyapenda and more, nkiri inachezea Mb 90_110...zimeshatoka ep 4 na Ina jumla ya ep 6. Enjoy
 
Mwendo wa kuteleza
Screenshot_20240128-052749.jpg
 
Aah kumbe ni kile nilidhan kipo kingine maana hapa wanasifia kipo kasi
Nimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kazi

LTNS, long time no sex, hapa ni mambo unayoyapenda and more, nkiri inachezea Mb 90_110...zimeshatoka ep 4 na Ina jumla ya ep 6. Enjoy
 
Nimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kazi

LTNS, long time no sex, hapa ni mambo unayoyapenda and more, nkiri inachezea Mb 90_110...zimeshatoka ep 4 na Ina jumla ya ep 6. Enjoy
Bila shaka umeangalia show yetu pendwa,nimefikiria kwa kina nikaona hapana ile couple ya Dong Jin acha tu ife yule Bibie aendelee na yake atafute new guy ,aache kumuona mwanaume kama Oxygen kwake kwamba bila yake atakuwa suffocated
 
Hawa jamaa wanatumia taaluma kubwa sana kwenye uandaaji wa drama, yani OST zinaendana na matukio kwa 100%, scene hata kama ni ya kawaida OST itakuchukua tu.
 
Yes, please!
1,Our tears by hyolin (hwarang)
2,Can you hear my heart by Lee hi(no rap)- scarlet heart..
3, when the wind blows by huge (Nirvana in fire).
4, when I close your eyes by bonngu (where the river rises).
5, just watching you by jeong(alchemy of souls).
6, good day by melo mance (Mr sunshine)
7, stay with me by chanyeol (goblin).
8, round and round by heize (goblin).
9, amazing Grace by yoona (k2).
Nifah niishie hapa my teacher, ai na za kihindi🤣😄🤒.
👉 Mac Alpho
 
1 & 2 umetisha, nazikubali.
 
Talent kubwa sana hii, mpaka sasa nimemuona kwenye drama nne zikiwemo Mr.Queen & Samdarli. Mzuri sana kwenye Comedy na romance.

SHIN HYE SUN
IMG_20240128_193340.jpg
 
Back
Top Bottom