adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kali sana ilinifanya nilale mida mibaya ,nikipata nafasi huenda nikairudia siku moja.Nipo episod 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kali sana ilinifanya nilale mida mibaya ,nikipata nafasi huenda nikairudia siku moja.Nipo episod 7
Chuma kizuri mnoo, episode ya 5 sasaHatari hii
Ndo uli kuwaga ugonjwa wangu, story Kama the queen of gorrila ya shigongo.Nipo kiosk hapa mitaa ya mwari hakogi, nimekaa na mzee ameinamia gazeti nusu saa nzima.
Nilidhani anasubiria huduma, kumbe uwepo wake ni kwa dhumuni la kusoma riwaya za magazetini.
Kakusanya magazeti kama matano, anapitia riwaya moja moja.
Uzuri upo umeme wa kutosha tofauti na darisalama
Mimi nina chache halafu za zamani labda mcheki Mufti kuku The Infinity ana vyuma vya kutosha.Nakutumia external device yangu
Najua hazi pungui 50 😆🤣Mimi nina chache halafu za zamani labda mcheki Mufti kuku The Infinity ana vyuma vya kutosha.View attachment 2911330
Ndio hizo tu halafu changamoto nyingine sina device nyingine zaidi ya Simu katika harakati zangu ,hivyo series zinakuwa kauka nikuvae futa kuweka nyingine na sio kuhifadhi nyingi kwa wakati mmoja.Najua hazi pungui 50 😆🤣
Hapo sawa, Nina PC Ina tb 1 miksa zime jaa z kikorea, kichina na kizungu.Ndio hizo tu halafu changamoto nyingine sina device nyingine zaidi ya Simu katika harakati zangu ,hivyo series zinakuwa kauka nikuvae futa kuweka nyingine na sio kuhifadhi nyingi kwa wakati mmoja.
Mimi Wakorea Tu wazungu naona kama nacheki Katuni Bora wachina.Hapo sawa, Nina PC Ina tb 1 miksa zime jaa z kikorea, kichina na kizungu.
👉 External ime jaa🤣😆
Wachina Wana vyuma vikali, sword snow stride, joy of life (tuna subiri season 2 Mwaka huu).Mimi Wakorea Tu wazungu naona kama nacheki Katuni Bora wachina.
Walisha kurova wee🤣😆, nime ona leo🤣Ukiona series yeyote ya Wazee wa mashuka na Aya action halafu hakuna kipande hata kimoja Kuna mwamba kaoigilia hivi basi jua hapo umepigwa hapo sawa sawa Tu na kucheki Moorin School View attachment 2911349
Hivi GIANT ile ya GANGMOO ni ya korea au ni wachina wale
Lile picha (Six flying dragon) limesukwa vizuri sana.Picha ilianza kuoga kuanzia hapa ,yaani jamaa alijua kila kitu na kurudi kizazi zaidi. Kama Six flying dragon picha iliAnza amsha amsha baada ya Lee Bang Ji kumuua kiongozi huku Le banga Won alishuhudia kwa mbali.View attachment 2911339
wiki mbili nyuma kuna kijana fulani tunafahamiana tokea chuo alipita sehemu ninayotumwa na wenye mamlaka, akaniuzia laini fulani ya HALOTEL kwa ajili ya internet tu.
kwa maana huwezi kupiga simu, kuunga halo pesa wala kutuma message.
vifurushi vyao vya internet vipo vizuri kwa namna fulani.
elfu 5 wakupa GB 4 kwa wiki.
nafikiria kusitisha huduma ya postpaid kwa muda ili niwatumikie vizuri halotel.
kwetu halotel unaweza kustremika mchana bila ya khofu ukilinganisha na mtandao wa tigo.
Spidi ya halotel huko uliko ni ya kasi kulinganisha na tigo?
Wewe basi haufuatilii vyuma pori maana maAssasin au manyamela lazima wavae hivyo kwenye mission zao.Walisha kurova wee🤣😆, nime ona leo🤣
Mimi sipendi zile zao za mauchawi na marangirangi panga linavutwa na mkono nkWachina Wana vyuma vikali, sword snow stride, joy of life (tuna subiri season 2 Mwaka huu).
03, Noble aspiration, blood youth,
04, journey to love, sword dragon sabre.
05, the sword of the white goat cave, Nirvana in fire.