OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Tupieni ma muvi za kikorea sijaai angalia labda naeza anza sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maliza, mi naona upanga tu🤓Nina kazi za watu acha nifanye😃
Single movie au series??Tupieni ma muvi za kikorea sijaai angalia labda naeza anza sasa
Single movie Mzee kuangalia series ya kikorea inabidi uwe na moyoSingle movie au series??
Jaribu MornieeBado kumenoga maana kama hii code naipata pata hivi😃
Naiskia ni 0600Hrs to 0900hrsJaribu Morniee
Mimi niliona leo saa mbili na kilinoga freeesh kabisa
Basi hapo Intelligent businessman kafurahia balaa😂
Eniwei wasije tufata na hukuKamaliza mchezo🤓
😅😅😅DahBasi hapo Intelligent businessman kafurahia balaa😂
Itakua nyimbo imewaliza mods Ile, sio bure
Ujue bado nalia Ile nyimbo, bora usingenionyesha🥲
Amna, mi wanao nijua, Wana elewa how cool and upendo nilio nao🤓.Basi hapo Intelligent businessman kafurahia balaa😂
Itakua nyimbo imewaliza mods Ile, sio bure
Ujue bado nalia Ile nyimbo, bora usingenionyesha🥲
Eniwei wasije tufata na huku
Dah hapo pole sanaDoh nimepitwa huku niliko inashika voda tu, na halotel kidogo
Bwegee na game sija cheza Nina miaka 3-5.Ok, Gunman sikuzote haloose kizembe Damdeok atapigwa Khitan..
Ulikuta na wajapani 🤓🤣Nilipotea kidogo Jf kwa masaa mengi kidogo maana yalinikuta ya Maghayo The Khitan Warrior nikasema liwalo na liwe