Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kama una soundtrack ya queen of tears naomba unitumie

Unajua kuhusu hizi dramas tunatofautiana tastes ni vyema kuheshimu za mwenzako kama mimi action sio tastes zangu huwa siwezi kuangalia action dramas mbili consecutively huwa nachoka haraka

Ukienda kule kwenye reviews hata Empress Ki na Defendant kuna watu wanazipa negative reviews hapa ndio utaelewa drama huwa si bora katika macho ya kila mtu as you know binadamu tunatofautiana katika kupenda kitu

Si vyema kuiponda drama waziwazi kila mtu akiishi na tastes zake moyoni haiwezi kutokea kama ya kijana mmoja humu huwa anazua ubishani na akina Dada[emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 na umezitaja kabisaaa drama pendwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na umezitaja kabisaaa drama pendwa
Tastes za watu ziheshimiwe ninachofahamu kdramas hazina noma ni mtu tu kazi kwake kuchagua zinazomkosha roho
[emoji23]
 
Back
Top Bottom