Han Kyul
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 264
- 529
Nilishasema mara nyingi wale wajinga walikuwa na possibility kubwa ya kurudiana,shida inapokuja Seokyung alikuwa na pride sana kitu ambacho si kizuri,alikuwa hana interest na mwanaume yoyote anamsubiri Juwon halafu hawezi effort anataka yeye ndio afuatwe sasa alipoona jamaa na Yujung mbona mambo yao kama wanadate tayari vile ikaanza kumuuma[emoji23]Nimelia sanaa
[emoji1787][emoji1787]
Sio mbaya 4/6 ni successful reunited zile 2 za wale older women na younger men mazingira magumu kurudiana.
Hwihyun bado ana utoto na hajui kujieleza kama mwanaume kitu ambacho kinamchosha Hyewon.
Kwang Tae yule bila shaka alishamove on hakukuwa na sparks kabisa na ex wake,sema demu akija kuona kakosa mwanaume anayeonesha full love kwake kama jamaa atammiss kiasi.