Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mwamba unajua vitu vikali but Kwenye hiyo list yako hakuna inaifikia "Innocent defendant" hii series ni 🔥 kuanzia story mpaka mpangilio wake wa matukio ni umejaa ubunifu mkubwa ni aina series ambayo adui kapewa nguvu kubwa sawa na Sterling tofauti na series nyingi.
🤣 Toka tukiwa vijana ulikuwa una i-promo innocent defendant mbaka leo tumekuwa watu wazima. Hongera anyway loyalty ni consistency kwenye vile unachokiamini.
 
🤣 Toka tukiwa vijana ulikuwa una i-promo innocent defendant mbaka leo tumekuwa watu wazima. Hongera anyway loyalty ni consistency kwenye vile unachokiamini.
Ukiona hivyo hakuna series yoyote imeipiku innocent defendant so bado imebakia kwangu kuwa best kdrama series of all time
 
Ukiona hivyo hakuna series yoyote imeipiku innocent defendant so bado imebakia kwangu kuwa best kdrama series of all time
Moyo umesalitika
Na sababu ya macho yangu
Tena nina adhirika, Kupenda kitu si changu

Mwisho nita adhirika, nipoteze roho yangu
Nilaumu macho yangu, Au moyo niambieniii
==========

nimeukumbuka wimbo wa marehemu maulid machaprala.
 
Sio mbaya sipo peke yangu napenda sana za Republication era na Sino Japanese War kuna moja hiyo inaitwa Sparrow ina muendelezo wake unaitwa Insects Awaken ni ya moto sana halafu sio ya kitambo ni 2019 tu halafu kuna Heroes nayo kali ya vita hizi dhidi ya Japan
Sparrow nimemaliza episode 1, ila kissasian imegoma kuplay nikachek dailymotion qualit mwisho 480p, site gani naweza pata 720p
 
Mpaka sasa kazi nilizotazama mwaka huu
1. Goryeo Khitan War
2. My Country
3. Great Merchant: Kim Man Doek ( nipo episode ya 26/32)
4. Second Husband (nipo episode ya 109/150) nilichofurahi kuhusu pia inaoneshwa Azam tv as Karma so naweza nikawasubiri nikaendelea kuitazama kupitia kitonga cha Azam.
 
Namba 4. Sister nimdowlodie natizama nakuta ep 150 awee aangalie tu azam
 
Nina variety show naifatilia haijawa subbed almost website nying za korean

Sasa naomben msaada wa kupata subittle kwa hizo variety za kilugha
 
Namba 4. Sister nimdowlodie natizama nakuta ep 150 awee aangalie tu azam
Episode za hiyo drama ya second husband ni fupi zina wastanj wa dk 26 mpaka 30. Kwahiyo ni chache tu.
Halafu mie nyakati kama hizi napokuwa free natizama mzigo wa kutosha maana nikianza kuwa busy inakuwa changamoto kusubili kwa television kila siku kiu cha dk 30 nitizame kwa almost dk 60.
 
kwa lugha ya korea neno BI (비) maana yake ni mvua kwa tafsiri ya kiswahili.
ukimwita BI RAIN hapo utakuwa umechanganya lugha mbili.
waonaje tukamwita BI RAIN MVUA.
Tafsiri yako ni sahihi, lakini ndivyo anavyoitwa (kama nilivyoandika awali).
 
Ngoja nizisome kwanza nijue story zake.
Big mouth Inahusiana na jamaa ambaye anajikuta anaingizwa jela kwazaniwa ni big mouth huyu big mouth hakuna mtu aliyewahi kumuona ila ni mtu balaa na anamatukio makubwa na pia anatafutwa na baadhi ya kulingana na misala aliyofanya tofauti tofauti.Kutokana na kuogopwa kwa big mouth kijana asiyekuwa siye anajikuta anauvaa uhusika asioujua.

Worst of evil yenyewe inahusiana na undercover ambaye anapewa mission ya kupeleleza kundi hatari la kiuni hapo mjini so anatengeneza mazingira ya kuaminiwa na hilo kundi ili awe mmoja wao ili iwe rahisi kuwapeleleza.
 
Back
Top Bottom