UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hapana sijaziona.Big mouth, worst of evil na The last umeziona hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sijaziona.Big mouth, worst of evil na The last umeziona hizi?
Kali mno anza na Big mouth au worst of evil tofauti zake ziko hivi Big mouth ni kali zaidi but inaanza taratibu inapozidi ndio utamu unaanza kuuonaHapana sijaziona.
🤣 Toka tukiwa vijana ulikuwa una i-promo innocent defendant mbaka leo tumekuwa watu wazima. Hongera anyway loyalty ni consistency kwenye vile unachokiamini.Mwamba unajua vitu vikali but Kwenye hiyo list yako hakuna inaifikia "Innocent defendant" hii series ni 🔥 kuanzia story mpaka mpangilio wake wa matukio ni umejaa ubunifu mkubwa ni aina series ambayo adui kapewa nguvu kubwa sawa na Sterling tofauti na series nyingi.
Ukiona hivyo hakuna series yoyote imeipiku innocent defendant so bado imebakia kwangu kuwa best kdrama series of all time🤣 Toka tukiwa vijana ulikuwa una i-promo innocent defendant mbaka leo tumekuwa watu wazima. Hongera anyway loyalty ni consistency kwenye vile unachokiamini.
Moyo umesalitikaUkiona hivyo hakuna series yoyote imeipiku innocent defendant so bado imebakia kwangu kuwa best kdrama series of all time
Mzee DaemusinMoyo umesalitika
Na sababu ya macho yangu
Tena nina adhirika, Kupenda kitu si changu
Mwisho nita adhirika, nipoteze roho yangu
Nilaumu macho yangu, Au moyo niambieniii
==========
nimeukumbuka wimbo wa marehemu maulid machaprala.
Dali and cocky princeNaomben list ya series za mapenzi nzzur za kuaminika
Sparrow nimemaliza episode 1, ila kissasian imegoma kuplay nikachek dailymotion qualit mwisho 480p, site gani naweza pata 720pSio mbaya sipo peke yangu napenda sana za Republication era na Sino Japanese War kuna moja hiyo inaitwa Sparrow ina muendelezo wake unaitwa Insects Awaken ni ya moto sana halafu sio ya kitambo ni 2019 tu halafu kuna Heroes nayo kali ya vita hizi dhidi ya Japan
Niko episode ya 5 now iko vzuri sana. ThanksSky castle ni Moja ya family drama nzuri sana, wiki iliyopita nilipata nafasi ya kuangalia ni nzuri sana
Namba 4. Sister nimdowlodie natizama nakuta ep 150 awee aangalie tu azamMpaka sasa kazi nilizotazama mwaka huu
1. Goryeo Khitan War
2. My Country
3. Great Merchant: Kim Man Doek ( nipo episode ya 26/32)
4. Second Husband (nipo episode ya 109/150) nilichofurahi kuhusu pia inaoneshwa Azam tv as Karma so naweza nikawasubiri nikaendelea kuitazama kupitia kitonga cha Azam.
Episode za hiyo drama ya second husband ni fupi zina wastanj wa dk 26 mpaka 30. Kwahiyo ni chache tu.Namba 4. Sister nimdowlodie natizama nakuta ep 150 awee aangalie tu azam
Tafsiri yako ni sahihi, lakini ndivyo anavyoitwa (kama nilivyoandika awali).kwa lugha ya korea neno BI (비) maana yake ni mvua kwa tafsiri ya kiswahili.
ukimwita BI RAIN hapo utakuwa umechanganya lugha mbili.
waonaje tukamwita BI RAIN MVUA.
Nature ya fanbase(perfection) kowanauza ile innocenceHivi kwanini Romance drama nyingi za Korea zina idea ya first love
SijakuelewaNature ya fanbase(perfection) kowanauza ile innocence
Ngoja nizisome kwanza nijue story zake.Kali mno anza na Big mouth au worst of evil tofauti zake ziko hivi Big mouth ni kali zaidi but inaanza taratibu inapozidi ndio utamu unaanza kuuona
Big mouth Inahusiana na jamaa ambaye anajikuta anaingizwa jela kwazaniwa ni big mouth huyu big mouth hakuna mtu aliyewahi kumuona ila ni mtu balaa na anamatukio makubwa na pia anatafutwa na baadhi ya kulingana na misala aliyofanya tofauti tofauti.Kutokana na kuogopwa kwa big mouth kijana asiyekuwa siye anajikuta anauvaa uhusika asioujua.Ngoja nizisome kwanza nijue story zake.