Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Shukrani

Shukrani sana
 
Dramacool imekuwaje kila nikisearch drama haileti, kuna mabadiliko ya kimfumo au link yangu ndio mbovu.?
 
Binafsi hii ndo Drama bora ya mwaka huu.
 
Attachments

  • Such_A_Close_Traitor-p.jpeg
    Such_A_Close_Traitor-p.jpeg
    78 KB · Views: 11
Dramacool imekuwaje kila nikisearch drama haileti, kuna mabadiliko ya kimfumo au link yangu ndio mbovu.?
Nadhan ndo wahanha wa moja wa dramanice
Wameamia dramanice.cfd
Lakin zile download link hamna
Mpaka ufungue video udownlodie pale napo shida kila inavyoshuka ukubwa wa file unaongezeka
Nimejarib kissasian ina matangazo balaa
Natumia nkiri saiv
Variety ndo nateseka pakuzipata
 
Jaman reddit n download vip drama

Naona dramanice imefungwa sie wa variety ni mateso
 
Kumbe DramaCool , Dramanice na Kissasian zimefungwa.? Daaah baadhi ya historical dramas za miaka ya 2000-2009 ilikuwa huwezi kuzikuta kwingine zaidi ya huko, sasa sijui inakuwaje hapa.

AGE OF WARRIORS, naipata wapi tofauti na huko.?
 
Myasiantv.ac
 
Back
Top Bottom