Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Hii ni simu au kishikwambii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni simu au kishikwambii
Na bei nayo iendelee kupanda? Si itafika hatua bei itapita hata hizo S-series?kuna ktu skielewagi kuhusu hawa samsung. yaan kwa nn wanatoa simu yenye higher specifications mfano (A80) imetoka 2019. afu mwaka 2023 wakaja kutoa simu yenye lower specifications (A24) wakati zote ni A series. yaan n kwa nn hawafati chronological order kama wanavofanya kwny smu zao za S series?
Kwa nini binadamu atumie iPhone wakati Samsung zipo? Sio kila mtu ni slay queen humuHivi bado kuna MASKINI wanatumia samsung wakati iphone 16 ipo mtaani. Kweli Tanzania ni Serengeti
A ngapi Mkuu?Samsung yangu hamna kitu inaizidi infinix yangu.
Hadi camera inazidiwa.
Kumbe sababu ni A series.
S series na A series ipi inakaa sana na chaji?Binafsi samsung nitatumia s series pekee, nkibadili labda samsung fold na flip. Note series sijazikubali sana tena nashukuru walivyositisha kuzitengeneza, viva samsung💪
Mostly ni A series zinaongoza kukaa na chajiS series na A series ipi inakaa sana na chaji?
Mbona watu wanaziponda?Mostly ni A series zinaongoza kukaa na chaji
Yeah.. A series zina weakness pia.Mbona watu wanaziponda?