Kwa wapinzani Bara kuwa Mbunge wa Jimbo kwa zaidi ya miaka kumi sio rahisi

Endelea kunisoma mpaka mwisho utapata majibu yangu, usipindishe jambo la msingi, jukumu la kwanza la serikali ndio kupeleka maendeleo majimboni bila kujali la upinzani au CCM.

Sasa kama serikali haitaki kupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani tena hata pale wabunge wa upinzani personally wanapoamua kutafuta misaada nje, ni vyema serikali ya CCM ikafuta mfumo wa vyama vingi wabaki CCM peke yao.

Watanzania wanaona hali halisi ndio maana bado wanaunga mkono upinzani kwa kiasi kikubwa sana, tazama mapokezi anayopata Lissu mikoa tofauti anayopita.

Kila mpambano lazima kutajitokeza pande mbili.
 
Mkuu hili ni tatizo la dunia yote, haijatokea serikali ikamudu mahitaji na mabadiliko ya mahitaji ya jamii siku zote. Na ikitiliwa maani Tanzania ni nchi maskini hali ni mbaya zaidi.

Kwa miaka 230 hivi, ndio serikali ya Marekani ilifanikiwa kuweka umeme nchi yote na ni mwaka 1976.
 
Sawa, ila ni muhimu serikali ijiepushe kuonesha upendeleo wa wazi kwa watu wake kama ambavyo Magufuli anafanya.
 
Mkuu ondoa kabisa wazo la usawa katika kugawa mali kisiasa. Kugawa resources za kitaifa kisiasa haitofautiani na wewe unatakiwa kumpa umpedae na anakupenda, na usie mpenda na yeye hakupendi.

Sijui kwa kipimo cha akili yako na uamuzi nani atapata upendeleo?
 
Akili zako zinafanana na za mleta mada, nawaona wote vichaa tu, iweje ukusanye kodi mahali ambapo hupeleki maendeleo? sijui mna matope ya aina gani kwenye vichwa vyenu.
 
Back
Top Bottom