ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.
Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.
Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.
Sasa tatizo linakuwa wapi?
Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?
Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?
Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah