Kwa wapinzani wenzetu hivi nyie hamli, hamnywi, hamfanyi mazoezi?

Ukisikia ule msemo wa "aliyeshiba hamjui mwenye njaa" ndiyo unafanya kazi kwa mtoa mada. Ameshasahau kuna wakati alikuwa analalamika humu jukwaani hana ajira, maisha ni magumu, na bla bla nyingine.

Tangu amepata ajira; tambo, nyodo, kejeli, dharau, na majigambo havijamuacha salama. Imagine leo hana tofauti na yule Marie Antoinette wa kwenye French Revolution ya mwaka 1789-1790's.
 
Tangu amepata ajira; tambo, nyodo, kejeli, dharau, na majigambo havijamuacha salama.
Alikuwa hana ajira ila unanga wake wa kuipenda CCM na makopo yake hakuwahi kuacha.Namkumbuka vizuri tu huyo "kimila-nzoka"!
 
Kitambo sana enzi za Magufuli😀
Halafu leo eti anaongea shit! Anafikiri Heche akilalamikia ugumu wa maisha anajilalamikia yeye badala ya wale wanyonge waliokosa sauti ya kuwasemea!

Ubinfsi siyo poa hata kidogo! Leo anashangaa vijana waliokosa ajira, eti serikali haiwezi kuajiri wahitimu wote! Sasa kama haiwezi kuajiri wahitimu wote, ni kwa nini isiwatengenezee mazingira ya kujiajiri? Yaani yupo kutetea ujinga kwa sababu tu yeye ana ajira! Na pia ana maisha mazuri!

Hovyo kabisa
 
We ni hasara kwa mamako na kwa Taifa, nyie ni malofa nchi hii ilishakombolewa, kina Lissu ni vibaraka wa walewale wazungu waliotutawala. Mnakomboa nini? Nyie kweli ni nyumbu, bila hata haya?
Sasa vyama vingi vya Nini?Waambie watatawala wavifute ibaki mbogamboga ili muwe mnashinda100%
 
Kitambo sana enzi za Magufuli😀
Halafu leo eti anaongea shit! Anafikiri Heche akilalamikia ugumu wa maisha anajilalamikia yeye badala ya wale wanyonge waliokosa sauti ya kuwasemea!

Ubinfsi siyo poa hata kidogo! Leo anashangaa vijana waliokosa ajira, eti serikali haiwezi kuajiri wahitimu wote! Sasa kama haiwezi kuajiri wahitimu wote, ni kwa nini isiwatengenezee mazingira ya kujiajiri? Yaani yupo kutetea ujinga kwa sababu tu yeye ana ajira! Na pia ana maisha mazuri!

Hovyo kabisa
Watu wa namna hiyo huwa ni wa ajabu na kuwaza kinyumenyume muda wote.Wanafikiri kwamba kila anayepaza sauti kuhusu uwepo wa umasikini ni lazima awe masikini.Wengine wana mioyo ya utu,huruma na upendo ndiyo maana hakubali wateseke na kuamua kuwasemea halafu wao wanajiweza kiuchumi.Dhamira njema ndiyo huwaongoza kuwatetea wengine.
 
Ndo demokrasia hiyo mleta mada. Kwenye demokrasia siku zote kuna jambo la kuboresha. Hata kwenye nchi zilizoendelea zenye demokrasia, wananchi hulalamikia mambo mbalimbali.

Ungekuwa sahihi kama usingewazodoa wapinzani. Wao wanacheza kwenye nafasi yao tu.
 
Wewe ni mbinafsi, unafikiri sababu umekula, umeshiba, unapiga picha basi maisha yameisha.
Nyerere alikua mwalimu, msomi kipindi hicho angekua na hii thinking angetulia akala bata, mpaka kustaafu kwake, mifano ni mingi.UACHE UBINAFSI- Kuna watu wamepoteza watoto na baba zao, kuna watu wanaomewa, n.k lazima walioshiba wawasemee na kuwasaidia
 
Ukisikia ule msemo wa "aliyeshiba hamjui mwenye njaa" ndiyo unafanya kazi kwa mtoa mada. Ameshasahau kuna wakati alikuwa analalamika humu jukwaani hana ajira, maisha ni magumu, na bla bla nyingine.

Tangu amepata ajira; tambo, nyodo, kejeli, dharau, na majigambo havijamuacha salama. Imagine leo hana tofauti na yule Marie Antoinette wa kwenye French Revolution ya mwaka 1789-1790's.
si kama heche tu alivyokua mbunge, alikua hajui gharama za kuagiza gari nje ya nchi kua ni kubwa kwakua alikua na pesa.

alipofilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti,eti ndio anaona na kugundua kwamba gharama za tozo na ushuru wa kukomboa gari, tena crown tu kwenye mamlaka za fedha nchini eti uko juu sana :pedroP:
 
Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.

Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.

Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.

Sasa tatizo linakuwa wapi?

Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?

Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?

Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Siku zote nimekuwa nikihisi wewe ni chawa. Uandishi wako siku zote ulikuwa unanipa uwalakini ila leo you have cleared all my doubts.
 
Nilichogundua hawa watu wanatoa haya maneno akitarajia majibu ya kutukanwa ndio afurahi! na kwa sasa hawa watu wenye mawazo kama haya ni wachache sana, ndugu zangu watanganyika wenye akili timamu hawa watu tusicoment chochote kwenye miradi yao ya kejeri we pita tu acha wajadili wenyewe sisi tujae kwenye discussion zetu za kukomboa taifa letu. Viva viva TANGANYIKA ✊️✊️✊️✊️✊️
 
Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.

Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.

Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.

Sasa tatizo linakuwa wapi?

Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?

Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?

Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Utafikiwa tu siku moja pamoja na hao kuku wako.
 
Unaelewa kuwa Elimu ni uwekezaji, na kila uwekezaji unahitaji return on investment?

Unafurahia vijana kuwa madereva wa bodaboda baada ya kusoma miaka mitano chuo kikuu?
Tumpe tu sitahili yake ni 'mjinga'
 
Mwananchi wa kawaida anapoyaumbua matapeli ya kisiasa.
Mkuu Kule Sudan na DRC Congo nako kuna watu wanakula goodtime kama kawaida regardless ya nchi zao kuwa na vurugu kila kukicha.
Allepo kule Syria nako kulikuwa vita japokuwa kuna wengine walikuwa wanakula rahaa.
Mleta mada ni mmoja wa watekaji na wafiraji ndiyo wanakula rahaa kwani kazi yake ni kuteka watu huku akipata back-up ya mfumo.
Hongera kwake.
 
Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.

Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.

Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.

Sasa tatizo linakuwa wapi?

Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?

Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?

Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Na hili ndio tatizo la wabongo ,wewe ni mbinafsi sana na una roho ya kutu, punguza umimi
 
Kwa hiyo wewe watu kuuawa au kutekwa nchini huoni tatizo? Aibu yako na vizazi vyako
 
Back
Top Bottom