ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
ajira???unataka waliosoma wote waajiriwe na serikali?Hali ya kuwa salama wewe mwenyewe haina maana nchi nzima iko salama. Mtoto wako kwenda shule leo haimaanishi elimu anayopata ina ubora wa kumfanya ashinde kwenye soko la sasa la ajira. Unafurahia maisha kwa sababu unaangalia urefu wa pua yako badala ya ukubwa wa picha yenyewe.
sio ugali maharage sema kukuHata Wakati wa Mkoloni kulikuwa na watu wengi wenye mawazo kama ya kwako.
Wewe ukishiba ugsli na maharage basi Unaona umefika kweli kweli .
Unaelewa kuwa Elimu ni uwekezaji, na kila uwekezaji unahitaji return on investment?ajira???unataka waliosoma wote waajiriwe na serikali?
Mara zote ngombe hata hajui kuna kupe wanamnyonya.Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.
Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.
Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.
Sasa tatizo linakuwa wapi?
Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?
Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?
Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Kubwa .......akiwa kazi iNdugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.
Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.
Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.
Sasa tatizo linakuwa wapi?
Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?
Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?
Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Serikali ina wajibu wa kuweka mazingira rafiki ya kurahisisha zoezi la mapigano.kila mtu ajipganie mkuu.
Kula bata, pambana achana na matapeli wa kisiasa.
Upinzani wako uko kwenye masuala gani?Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.
Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.
Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.
Sasa tatizo linakuwa wapi?
Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?
Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?
Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Na ng'ombe ni ng'ombe, hawezi kuwa na ubinadamu hata siku moja.Mara zote ngombe hata hajui kuna kupe wanamnyonya.
Sijashangaa kabisa!
We ni hasara kwa mamako na kwa Taifa, nyie ni malofa nchi hii ilishakombolewa, kina Lissu ni vibaraka wa walewale wazungu waliotutawala. Mnakomboa nini? Nyie kweli ni nyumbu, bila hata haya?Hata Wakati wa Mkoloni kulikuwa na watu wengi wenye mawazo kama ya kwako.
Wewe ukishiba ugsli na maharage basi Unaona umefika kweli kweli .
Ndugu yangu hayo ni mavivu yamedanganywa chadema ikiingia madarakani watapata pesa za bure, wamepumbazwa na kupambazika. Wafuasi wa chadema ni afadhali ya wehuNdugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.