Alikuwa hana ajira ila unanga wake wa kuipenda CCM na makopo yake hakuwahi kuacha.Namkumbuka vizuri tu huyo "kimila-nzoka"!Ukisikia ule msemo wa "aliyeshiba hamjui mwenye njaa" ndiyo unafanya kazi kwa mtoa mada. Ameshasahau kuna wakati alikuwa analalamika humu jukwaani hana ajira, maisha ni magumu, na bla bla nyingine.
Tangu amepata ajira; tambo, nyodo, kejeli, dharau, na majigambo havijamuacha salama.
Kitambo sana enzi za Magufuli😀Alikuwa hana ajira ila unanga wake wa kuipenda CCM na makopo yake hakuwahi kuacha.Namkumbuka vizuri tu huyo "kimila-nzoka"!
Sasa vyama vingi vya Nini?Waambie watatawala wavifute ibaki mbogamboga ili muwe mnashinda100%We ni hasara kwa mamako na kwa Taifa, nyie ni malofa nchi hii ilishakombolewa, kina Lissu ni vibaraka wa walewale wazungu waliotutawala. Mnakomboa nini? Nyie kweli ni nyumbu, bila hata haya?
Watu wa namna hiyo huwa ni wa ajabu na kuwaza kinyumenyume muda wote.Wanafikiri kwamba kila anayepaza sauti kuhusu uwepo wa umasikini ni lazima awe masikini.Wengine wana mioyo ya utu,huruma na upendo ndiyo maana hakubali wateseke na kuamua kuwasemea halafu wao wanajiweza kiuchumi.Dhamira njema ndiyo huwaongoza kuwatetea wengine.Kitambo sana enzi za Magufuli😀
Halafu leo eti anaongea shit! Anafikiri Heche akilalamikia ugumu wa maisha anajilalamikia yeye badala ya wale wanyonge waliokosa sauti ya kuwasemea!
Ubinfsi siyo poa hata kidogo! Leo anashangaa vijana waliokosa ajira, eti serikali haiwezi kuajiri wahitimu wote! Sasa kama haiwezi kuajiri wahitimu wote, ni kwa nini isiwatengenezee mazingira ya kujiajiri? Yaani yupo kutetea ujinga kwa sababu tu yeye ana ajira! Na pia ana maisha mazuri!
Hovyo kabisa
si kama heche tu alivyokua mbunge, alikua hajui gharama za kuagiza gari nje ya nchi kua ni kubwa kwakua alikua na pesa.Ukisikia ule msemo wa "aliyeshiba hamjui mwenye njaa" ndiyo unafanya kazi kwa mtoa mada. Ameshasahau kuna wakati alikuwa analalamika humu jukwaani hana ajira, maisha ni magumu, na bla bla nyingine.
Tangu amepata ajira; tambo, nyodo, kejeli, dharau, na majigambo havijamuacha salama. Imagine leo hana tofauti na yule Marie Antoinette wa kwenye French Revolution ya mwaka 1789-1790's.
endelea kusubiri serikali waku2ombee mke.Serikali ina wajibu wa kuweka mazingira rafiki ya kurahisisha zoezi la mapigano.
1. Ukitafuta wewe inatosha.endelea kusubiri serikali waku2ombee mke.
tafuta pesa ndg
Siku zote nimekuwa nikihisi wewe ni chawa. Uandishi wako siku zote ulikuwa unanipa uwalakini ila leo you have cleared all my doubts.Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.
Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.
Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.
Sasa tatizo linakuwa wapi?
Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?
Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?
Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Utafikiwa tu siku moja pamoja na hao kuku wako.Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.
Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.
Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.
Sasa tatizo linakuwa wapi?
Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?
Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?
Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
sawa jiandae ki2mbewa mke boya1. Ukitafuta wewe inatosha.
2. Mimi mzaramo sina undugu na wewe.
Wa kwako amesha2ombwa mara ngapi?sawa jiandae ki2mbewa mke boya
Tumpe tu sitahili yake ni 'mjinga'Unaelewa kuwa Elimu ni uwekezaji, na kila uwekezaji unahitaji return on investment?
Unafurahia vijana kuwa madereva wa bodaboda baada ya kusoma miaka mitano chuo kikuu?
Mkuu Kule Sudan na DRC Congo nako kuna watu wanakula goodtime kama kawaida regardless ya nchi zao kuwa na vurugu kila kukicha.Mwananchi wa kawaida anapoyaumbua matapeli ya kisiasa.
Na hili ndio tatizo la wabongo ,wewe ni mbinafsi sana na una roho ya kutu, punguza umimiNdugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.
Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi, tunapiga picha, tunatoka, tunasafiri na tunapanga maisha yetu ya kesho.
Mimi binafsi, kipato changu ni cha kawaida kabisa, lakini kila siku nikiamka kichwani ninakuwa na idea mpya ya kufanya hasa kwenye elimu, mazingira na content. Na bado nafurahia maisha yangu.
Sasa tatizo linakuwa wapi?
Je, sisi ndio hatuoni matatizo mnayoyaona, au nyie mnayapa matatizo hayo nafasi kubwa sana mpaka yanafanya maisha yote yaonekane mabaya?
Na baadhi ya mambo mnayoyalalamikia leo, sisi wengine tulishayasahau kitambo. Maisha yameendelea.hahahahahaha eti mimi kichwani niwaze mambo ya tume huru huo ni ujiinga hahahahahahaha 2027 inakuja badala niwaze kuweka nyavu nyumbani kwangu kuku wasitoke nje eti niwaze katiba mpya why kwani mtoto wangu ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya katiba ?
Sisi wengine tumeamua kuendelea na maisha bila kusubiri kila siku mwanasiasa atuambie kama tuna haki ya kufurahi au la.tone tone changia CHADEMA hahahahahahah
Kwa hiyo wewe watu kuuawa au kutekwa nchini huoni tatizo? Aibu yako na vizazi vyakoNdugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa.