Kwa wasanii wanaotegemea show kipindi hiki wanaishije?

Sio wasanii tu, watu wa fani nyingine pia wamekwama kipindi hiki. Na hali hii ikiendelea hata ukiwa na pesa utatafuta cha kununua.
 
Wasijali waongee na CCM iwape mashavu
 
Wanagoja Za CCM

god is good
 
CCM inawapa shavu kasema uchanguz
Upo pale pale

god is good
 
hakuna msanii anae ishi kwa kutegemea show pekee,wala mziki pekee watu wanashughuli zao usitake kupotosha umma hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…