Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

mimi ndio nilikaambia na sikumaanisha hivyo , nilimkataza ufanya baadhi ya vitu/lkuwasiliana/lkwenda disco bila mimi etc sasa eti kwa vile nilimuona na baadhi ya watu ananiambia eti kama nataka nikapigane nao eti hayo ndio mapenzi?
 
Kama unapita kimya ntachanganya na za mbayuwayu, ila ukiropokea si wa kupiganiwa aisee ya wanawake wa kenya itakuwa cha mtoto. Ntashusha timbwili mpaka atapike maziwa ya utotoni.
 
na wewe kuwa na akili ndio unamshauri nini hivyo mwenzako? ndio mtaishia kumegwa na kukimbiwa wewe kwa akili yako unafikiri mwanaume mwenye akili zake kila akikuona na mtu aende akapigane naye? nyie sometime hamna akili amtu anaweza kwenda kutoana manundu halafu baada ya mda mnaenda kutoa mambo pumbavu kabisa. na narudia tena sitapikuja kupigana hata siku moja kwa sababu ya mwanamke kama hanitaki aende zake huko na achukue ushauri wako atafute mwanaume ila namhaakikishia akifanya hivyo ataishia kumegwa na anatakiwa ajitambue.
 
Kama unapita kimya ntachanganya na za mbayuwayu, ila ukiropokea si wa kupiganiwa aisee ya wanawake wa kenya itakuwa cha mtoto. Ntashusha timbwili mpaka atapike maziwa ya utotoni.

eti ni kweli nikapigane kwa ajili yake kisa amefanya vitu ambavyo sivipendi?
 
kizunguzungu hapa!!!!!!!!!!!!aiseeeee!km ni kweli ungemMP huu ujumbe ingekuwa vizuri zaid.
 
Mie mwenyewe siwezi kumpigania mwanaume kwa sababu yoyote (labda akiwa kwenye coma ama kadata!). Mapenzi ni hiari, nitamruhusu achague kuwa nami kwa mapenzi, otherwise nachukua ndogo ndogo! Muhimu nitamlinda kama ataniruhusu tu! Basi!

hapa umemwambia kitu muhimu sana ...sasa yeye analindwa lakini halindiki
 
kizunguzungu hapa!!!!!!!!!!!!aiseeeee!km ni kweli ungemMP huu ujumbe ingekuwa vizuri zaid.
nimesha mpm ila yeye kaja kuileta huku na ndio maana na mimi nimekuja, ili watu wamuelewe. kama post imekukera iruke tu hamna shida
 
Yaani hapo nikiondoka namsubiri badaye apige simu hlf nimuulize yeye ni nani,nadhani atajiongoza mwenyewe!
 
Yaani hapo nikiondoka namsubiri badaye apige simu hlf nimuulize yeye ni nani,nadhani atajiongoza mwenyewe!
kwa hiyo unataka mvulana wako akapigane na watu ambao unawapa ushirikiano mwenyewe? unafikiri atakuwa na akili timamu kweli?
 
mimi ndio nilikaambia na sikumaanisha hivyo , nilimkataza ufanya baadhi ya vitu/lkuwasiliana/lkwenda disco bila mimi etc sasa eti kwa vile nilimuona na baadhi ya watu ananiambia eti kama nataka nikapigane nao eti hayo ndio mapenzi?
kupigana hiyo hamna bana ,hapo alitakiwa akupe love km nilivyosema hapo juu.....ila this z more serious kidogo than other think!....hapo mm naona issue sasa ni communication zaid haijakaa vizuri either way.
 
nimesha mpm ila yeye kaja kuileta huku na ndio maana na mimi nimekuja, ili watu wamuelewe. kama post imekukera iruke tu hamna shida
haijanikera mkuu ila nimeona mnakuwa open na very serious na mambo ya ndani hadharani zaidi.....anyway if that is the case ngoja tujaribu kuendelea kushauri tu!
 
We msichana kumbe??
 
kupigana hiyo hamna bana ,hapo alitakiwa akupe love km nilivyosema hapo juu.....ila this z more serious kidogo than other think!....hapo mm naona issue sasa ni communication zaid haijakaa vizuri either way.
nimekupata kaka ila kuwa na msichana ambaye ni mgumu kuelewa na mbishi ni kazi sana. kila saa lazima kicha kikuume .unamwambia hiki yeye anatafsiri hivi.
 
mmmh!hata kama hawezi kukupigania ndo akuambie ila ni bora ujue upo kwenye position gani kwa huyo mtu
 
sikuelewi na sikujui lkn unafanya kama vile am yours...............yani wavulana wa humu cjui wakoje,,,,,,,,,,,,,au ni kujimilikisha tu................huniwezi ww hii mashine kubwa tuliza boli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…