Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
mimi ndio nilikaambia na sikumaanisha hivyo , nilimkataza ufanya baadhi ya vitu/lkuwasiliana/lkwenda disco bila mimi etc sasa eti kwa vile nilimuona na baadhi ya watu ananiambia eti kama nataka nikapigane nao eti hayo ndio mapenzi?immature minds speak shits like that......ila pia we dont suppose to fight for a love....we simply make love ,give love ,receive love n.k ,we dont fight for for it labda kwenye tamthilia tu na movie.
japo hiyo lugha iliyotumika kukuambia ni ya kitoto zaidi na inaashiria you are no longer( hupendwi ,huthaminiwi tena)