Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

Mda mwingine mtu anaona ni bora asimpiganie mpenzi wake kutokana na mazingira ya sasa. Mtu akishaumizwa mara moja hawezi tena kumpigania mtu
 
Cheka bibie maisha yenyewe nusu ya robo! JK keshaharibu kila upande!
Ole wako ujiue sijui nini, nitakusaka na AshaDii, Sweetlady na Nyamayao tuicharaze fimbo maiti yako hadi itie akili!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day girl
 
Mda mwingine mtu anaona ni bora asimpiganie mpenzi wake kutokana na mazingira ya sasa. Mtu akishaumizwa mara moja hawezi tena kumpigania mtu
hapo napo panawezekana pia
 
Cheka bibie maisha yenyewe nusu ya robo! JK keshaharibu kila upande!
Ole wako ujiue sijui nini, nitakusaka na AshaDii, Sweetlady na Nyamayao tuicharaze fimbo maiti yako hadi itie akili!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaa hajiui mtu hapa atajiua yy aniache mm hapa duniani nakuala miraha
 
Manaake hawa nao hawakawii, wakiona msichana kalizwa au ana matatizo....basi ndo wanatake advantage!
aache mana nitam use bure kwa hasira nilizonazo za huyo mwenzie mweh!
 
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli

Kwa Wasichana au Wanawake au Wadada Tu? Any way napita tu kuna mdada wa JF Kaniomba lift:
superman700cropped.jpg
 
mapenzi ni magumu mno
kama huna moyo wa chuma bora kukaa nayo pembeni

unayemfeel sana, wala yeye anakuona kawaida mno. Sijajua kwa nini
na ku feel konnie!
( na assume we ni She)!
 
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli

Kumbe wasichana tu???!!!!kwaheri..mie mwanamke na vivulana sio saizi yangu.
 
Back
Top Bottom