Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

Nafasi zimetoka Leo..ila ww kinachokuweka pemben ni hyo four ya 33,wao wanataka mwisho 32..na umri ww ni 19,wao wanataka mwisho 18 kwa form four...

Anyway nenda kajaribu bahat yako
 
Naomba kuuliza. Nina miaka 19, nimemaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanya vizuri, nilipata div 4 ya point 33 lakini nina mpango wa kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka.

Nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha Veta, lakini pia nina kipaji kama uchezaji wa Volleyball, kuimba pamoja kupiga vyombo vya muziki.

Nahitaji kuuliza kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?
Rudi shule kwanza. Nyie ndo mnaochafua sura ya vyombo vya uslama wa Taifa letu
 
Back
Top Bottom