Kwa wasikilizaji makini tu: Umegundua nini katika mahojiano haya kati Benard Membe na mwandishi wa habari Dotto Bulendu wa DW Radio?

Kula tano mkuu, ule ujinga safari hii watasubiri sana.
Kwani mwanzo walipofanya wewe ulitegemea kuwa watafanya hadi sasa uone kuwa hawatarudia tena? Tuache wanasiasa wafanye siasa zao.
 
Kwani mwanzo walipofanya wewe ulitegemea kuwa watafanya hadi sasa uone kuwa hawatarudia tena? Tuache wanasiasa wafanye siasa zao.

Unaposema tuache wanasiasa wafanye siasa zao, sisi sio wanasiasa?
 
Hakika mwaka huu katika nafasi ya Urais, CDM imejaliwa wagombea makini sana kihistoria, hii haizuii B.K.Membe na wengineo kuja ili tuyatafute mabadiliko ya kweli kwa Tanzania yetu.
Karibuni sana!!
Ndoto
 
Hamna ulichofanya, Sijaona Logic hapo, kama ungeteka ungebadili tittle ya thread ungeleweka.

Wewe ndo tatizo ulichpost hakieleweki then unataka watu wakuelewe??

Shame on you...🤨🤨🤨
 
Dude punguza povu🤩🤩
 
Dude punguza povu🤩🤩

I said and I am saying it to you again....

Kwamba, kuna uwezekano wewe una asili ya ubishi tu...

Kwamba, hata rangi nyekundu ikiwa mbele ya uso wako, wewe utakataa tu kuwa siyo nyekundu bali ni nyeupe...!!

Watu kama ninyi huwa mwisho wa siku mnajifunza na kuulewa ukweli in a very hard way...

Kwa heri...
 
Dude! What seems right to you, might be wrong to other!
 
tuache ujinga lowasa alishinda tena kwa kishindo tatizo ni kikwete alimbania kisa ile project yao ya OP yeye na rostam!!
 
Hana lolote Membe na hawezi kuwa Rais wa nchi hii angekubaliana na hali amalize uzee wake kwa amani.

Hana mvuto pia.
 
Dude! What seems right to you, might be wrong to other!

I absolutely agree with you...

That's why the red colour to you is not red rather is blue...

I accepted it. I respected your observation because what is right to me, is WRONG TO YOU...!!

So, thank you & good luck...
 
Makosa ya kumpa nafasi ile fisadi Lowassa 2015 hayatarudiwa tena.
Tena ikiwezekana muwaombe msamaha wanachama wenu kwa makosa makubwa mliyofanya. Mlipoteza pa kubwa imani yenu kwa watu.
 
Chadema mnaruka ruka tu hapa na kujiapiza kwamba hamumtaki Benadi Kamilioni Wembe ila nachojua labda kamilioni awe hana hela ila mfuko ukiwa mzuri akauweka mezani faru joni haachi pesa na vijakazi wake hapa jukwaani mtanywea tu kama ilivo kawaida yenu mazafaqa
 
I absolutely agree with you...

That's why the red colour to you is not red rather is blue...

I accepted it. I respected your observation because what is right to me, is WRONG TO YOU...!!

So, thank you & good luck...
Why can't you admit your weaknesses? You have encountered error from the beginning!

I have seen lack of OBJECTIVITY & PARTICULARITY !

What you posted is extremely RUBBISH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…