Mi wakati nipo sekondari nilikuwa nikisikia wanazuoni basi najua ndio wanachuo wenyewe😅
Yaani nilidhani kuwa kusoma ya wengine kunaishia form 6 (kiwango cha juu cha kusoma) halafu elimu inayobakia unajitengenezea mwenyewe
Nilijiaminisha kwamba chuoni mnakaa wanafunzi na maprofesa halafu mnajadili mjifunze kuhusu nini? Mnafanya tafiti halafu mkipata majibu mnachapisha na kutangaza tu ulimwenguni.
So mwisho utaskia wanazuoni wa Sua, Muhas, au St Agustine wamesema ng'ombe akola chokoleti anatoa maziwa ya milkshake tayaritayarii😅😳😳😅. Inaingia kwenye silabasi wa sekondari wanaanza kuyasoma/kariri.