Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi (2022), idadi ya Watanzania ni takribani milioni 61. Unawezaje kuhitimisha kwamba hao wote lugha yao ni mbovu ukitumia mfano huu mmoja?

Au nami nihitimishe kwamba weledi wa Watanzania kiutafiti ni duni mno?

Aidha, nimegundua kwamba una uandishi fulani mbovu kupindukia. Je, ndivyo Watanzania wote 61M walivyo?
Kama jiwe na PhD yake alikuwa na lugha mbovu mpaka akakacha kwenda nje ya Bara la Afrika! Wengine?
 
Kama jiwe na PhD yake alikuwa na lugha mbovu mpaka akakacha kwenda nje ya Bara la Afrika! Wengine?
Bado unafanya kosa lilelile la ujumuishaji. ^Samaki mmoja akioza, wote wameoza,^ ni falsafa yenye mahali pake, na wala si pote.
 
Back
Top Bottom