SawaHawa wakiamua wanamfungilia mashitaka.
Hakuna kifungu kinachozingatiwa.
DuuuUhaini, kuwashawishi watu wadai Katiba kwa kutumia nguvu. Wana mnyonga asubuhi mapema sana. ALISIKIKA MLEVI MMOJA AKISEMA
Hawa wakiamua wanamfungilia mashitaka.
Hakuna kifungu kinachozingatiwa.
Hata bila sheria mashtaka yanaweza kufunguliwa tu wakipenda.Najaribu kuwaza hv mfano kwa roho mbaya tulizonazo Kuna mwanya labda emm kufikishwa mahakamani? na kama ni hivyo kwa kifungu kipi alichovunja?