Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Huu ushauri mzuri Sana maana jamaa anasema hawakutaka hata kumsikiliza polisi wote walikuwa upande wa demu wakati hawana uhakika na mashtaka ya demuAwaambie hao police uchwara kwamba anaenda kushitak kwa OCD au RPC.
Halafu aende dukani kuomba risiti, kama anakumbuka tarehe au mwezi watamuangalizia ktk kumbukumbu, aende na ID ili wafananishe majina.
Hiyo simu alinunua sh ngapi?Nilikuwa nae alipewa risiti ya efd
sa si aende apo dukani apate majibu ya ayo maswali yote?Hapo kwenye kopi ya risiti je ni kweli wanakuwaga nazo wale wauzaji?
Kama alipewa risiti, kwa nini asirudi dukani?Alinunua Tsh 750,000/=
Ulishaona polisi wanatishika?Awaambie hao police uchwara kwamba anaenda kushitak kwa OCD au RPC.
Halafu aende dukani kuomba risiti, kama anakumbuka tarehe au mwezi watamuangalizia ktk kumbukumbu, aende na ID ili wafananishe majina.
Simu ilikuwa mpya tunavyoinunua yani full box na Kila kitu kinacho patikana kwenye simu mpya kilikuwepo yani ilikuwa mpya kabiiiisa. Shida Tu Jamaa anasema katika kuhama hama makazi mara huku mara kule akapoteza box pamoja na risiti ya simu.Imani kubwa itakuwa ya huyo demu, jamaa alikuwa anauza mali ya wizi kwa kujua au kutokujua.
Aachane nayo, police ya tz itamfilisi,
Case closedHapo hakuna haja ya risti hio kesi ni rahisi sana police wana kitengo cha Cyber wana trace sim card ipi imetangulia kutumika kwenye hio simu kati ya huyo jamaa yako na ya demu case closed
Nitamshauri jamaa awaambie polisi hicho kitengo cha cybe kifanye kazi yake. Na vipi hapo ikitambulika demu alikuwa anajaribu kumtapeli jamaa kisa hana risiti je mshkaji anaweza kumfungulia huyo dem mashtaka ya udhalilishaji? Maana jamaa anasema alibebwa juujuu kama mwizi toka mtaani kwao hadi kituo cha polisi anasema ilikuwa ni aibu kubwa sana kwake pale mtaani anapoishi.Hapo hakuna haja ya risti hio kesi ni rahisi sana police wana kitengo cha Cyber wana trace sim card ipi imetangulia kutumika kwenye hio simu kati ya huyo jamaa yako na ya demu case closed
Huyo bitch kashawapanga askari na kibunda apo lazima mchizi atakula za macho kama ana uwezo acheki wakili.Sasa mchizi simu hajaiba tulienda Mimi na yeye kununua shida hapo ni risiti, sasa dukani wanaweza kubaki na kopi ya risiti yenye emai namba za Ile simu au ndiyo demu anakula njama na hao polisi na mchizi ataingizwa chaka!!!!?