Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

Nilikuwa nae alipewa risiti ya efd
1. Nenda dukan umuombe akusaidie kupata report ya mauzo ya Ile siku umeenda kununua na muda pia uzingatie,

2. Maduka mengi yana security camera Kama vp omba mwenye duka akusaidie video

3. Google wanahifadhi kila kitu kila mtu ataje siku aliyoanza kuitumia hyi simu na reference zote zinapatikana kwenye apps (G mail, G photo, G locations, G message na zinginezo)

Mjin akili
 
Akitaka anaweza.
 
Huyo demu ni tapeli,hapo jamaa aandae mpunga kidogo kufukia hyo aibu,na gharama zake zitarud asihofu..mjini akili mzee
 
Muda huo upo rumande.
Polisi gani ana muda wa kupoteza
Mbona rahisi hilo polisi wanalimaliza mapema, waandike barua kujua namba iliyotumia hiyo simu muda fulani watajua nani mkweli
 
Risiti za magumashi zipo kibao anashindwaje ku foji hyo risiti huyo jamaa naye mzembe watu wanafoji cheti cha 4m4 ishindakane hlo jambo dogo mkulungwa kaingia king kizembe sana.
 
Huyo jamaa yako aende dukani aliponunua wanabaki na kumbukumbu kibao.Akumbuke tarehe na mazingira yalibyokuwa siku hiyo.Ikibainika demu anadanganya,hiyo ni jinai polisi warare naye mbele ila Nina wasiwasi huenda polis wamekula Mchongo na huyo dada.Kama vipi atafute mwanasheria ampe msaada.Kwanini hawataki jamaa aikague risit na simu?
 
Hivi risiti za simu zinakuwaga na IMEI namba za simu husika?
 
Wadau nashukuru Sana kwa ushauri wenu maana Mambo mliyosema hapa ndiyo nilienda kumweleza mchizi na akafanya kama nilivyo mwambia na kesi ameshinda.

Alienda lile Duka tuliponunua simu akapewa kopi ya risiti kisha akaipeleka pale kituo cha polisi na demu ndiyo akaonekana muhuni mpaka saizi yeye ndiyo anashililiwa na polisi kama tapeli la kimtandao.

Mbalikiwe saaana. Maana huyu jamaa ni mdogo wangu kabisa mumeplay part kubwa Sana katika Maisha yake katika kumwokoa na cello ya police.

God bless you all mliotoa mawazo yanu juu ya hili.

Ahsante
 
Mbona rahisi hilo polisi wanalimaliza mapema, waandike barua kujua namba iliyotumia hiyo simu muda fulani watajua nani mkweli
Waandike kwenda wapi?
TCRA?
Huu ushauri ni bora zaidi na utamfunga huyo dada kama kweli man simu ni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…