Kwa wataalamu, hivi mtu anaweza okoa pesa kiasi gani akiezeka kwa msouth badala ya kigae?

Kwa wataalamu, hivi mtu anaweza okoa pesa kiasi gani akiezeka kwa msouth badala ya kigae?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Tofauti ya bajeti kwa anayeezeka kwa msouth na anayeezeka kwa vigae ni pesa ngapi?
 
Tofauti ya bajeti kwa anayeezeka kwa msouth na anayeezeka kwa vigae ni pesa ngapi?
Kwa kubana matumizi inasaidia. Mfano Bati la Kigae Gauge 28, upana 80cm urefu futi 10 ni 46k. Wakati la kawaida Max cover migongo mipana la usawa huo huo ni 42k
 
Vigae ni gharama kubwa pia vinatumia mbao nyingi,ila kwa msouth unaokoa gharama kubwa sana
 
Back
Top Bottom