Kwa wataalamu wa miamba eneo lenye mafuta ni dalili gani zinaonyesha chini kuna mafuta

Ungesema umeona dalili fulani kwenye hiyo ardhi ndio uulize maana ya dalili hizo ni nn.
Sasa wewe umeshawahi kwenye mafuta.
Na huwezi kuwa tajiri hata yangekuwa ni mafuta ni Mali ya Serikali.
Kumbuka ardhi yote ni ya jamhuri ya TZ hivyo Rais ana mamlaka nayo
 
Ngoja tusubiri watalaamu waseme watakosema kikiendana na hali ya pale nawatafuta wachina fasta
 
Eneo lenye dalili za kuwa na mafuta ya petroli au gesi asilia mara nyingi linaweza kutambuliwa kupitia ishara zifuatazo:

1. Maumbile ya Kijiolojia (Geological Features):
Anticlinal Structures: Maumbo ya miamba yenye umbo la kuba (dome-like) ambayo yanaweza kufunika mafuta au gesi chini ya ardhi.
Faults and Folds: Nyufa na mikunjo ya miamba inaweza kuunda mifuko inayofanya mafuta kukwama.
Miamba ya Hifadhi (Reservoir Rocks): Miamba yenye vinyweleo (porous rocks) kama vile mchanga na chokaa inayoweka mafuta au gesi.
2. Dalili za Kimazingira (Surface Indicators):
Seepages: Mafuta au gesi kuonekana yakivuja juu ya ardhi au kwenye maji.
Mabadiliko ya Mimea: Eneo lenye mimea inayodumaa au kubadilika rangi bila sababu ya wazi linaweza kuashiria uwepo wa gesi chini ya ardhi.
Maji ya Moto na Chemchem za Gesi: Maji ya moto yanayobubujika na kutoa harufu ya gesi yanaweza kuonyesha uwepo wa mafuta au gesi.
Mkuu utafiti wa mafuta ni hatari na nusu. Kisima kimoja tu Cha utafiti ni kama bilioni mia moja za kibongo na kwa Kila visima kumi vinavyochimbwa ni only Viwili pekee ndiyo vinaweza kuwa na uzalishajia wa kibiashara. Upo?
 
Dalili kama mafuta yanavuja hii ipo yaani hilo neno kuna kama vile mtu ukimwaka mafuta kwenye sehemu yenye maji, pia kuna kuwa na ujiuji kama rangi ya dhahabu
 
Eneo lenye dalili za kuwa na mafuta ya petroli au gesi asilia mara nyingi linaweza kutambuliwa kupitia ishara zifuatazo:

1. Maumbile ya Kijiolojia (Geological Features):
Anticlinal Structures: Maumbo ya miamba yenye umbo la kuba (dome-like) ambayo yanaweza kufunika mafuta au gesi chini ya ardhi.
Faults and Folds: Nyufa na mikunjo ya miamba inaweza kuunda mifuko inayofanya mafuta kukwama.
Miamba ya Hifadhi (Reservoir Rocks): Miamba yenye vinyweleo (porous rocks) kama vile mchanga na chokaa inayoweka mafuta au gesi.
2. Dalili za Kimazingira (Surface Indicators):
Seepages: Mafuta au gesi kuonekana yakivuja juu ya ardhi au kwenye maji.
Mabadiliko ya Mimea: Eneo lenye mimea inayodumaa au kubadilika rangi bila sababu ya wazi linaweza kuashiria uwepo wa gesi chini ya ardhi.
Maji ya Moto na Chemchem za Gesi: Maji ya moto yanayobubujika na kutoa harufu ya gesi yanaweza kuonyesha uwepo wa mafuta au gesi.
Mkuu utafiti wa mafuta ni hatari na nusu. Kisima kimoja tu Cha utafiti ni kama bilioni mia moja za kibongo na kwa Kila visima kumi vinavyochimbwa ni only Viwili pekee ndiyo vinaweza kuwa na uzalishajia wa kibiashara. Upo?
Aiseee!!👿 bilioni elfu moja visima kumi duh!!
 
Ngoja tusubiri watalaamu waseme watakosema kikiendana na hali ya pale nawatafuta wachina fasta
Kuchimba mafuta si sawa na kuchimba dhahabu. Uwekezaji wake si wa kitoto na ni lazima wahakikishe yapo kiasi gani maana kuna sehemu wanakuta mafuta yapo ila si mengi labda yataisha baada ya miaka 2. Hivyo gharama za uwekezaji ni kubwa kuliko uchimbaji, so wanaacha.
 
Dah kumbe si kitu cha huwakika?
 
Back
Top Bottom