Kwa wataalamu wa online banking CRDB karibuni tubadilishane mawazo

Kwa wataalamu wa online banking CRDB karibuni tubadilishane mawazo

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
143
Reaction score
204
Habari za majukumu kila mmoja,

Niko nchini Israel kwa sasa ila Huwa nikipata pesa huku (shekhel) Huwa nakutumia kwa kadi yangu ya visa ya crdb ambayo ninayo huku.

Tatizo ni kuwa Sina uwezo wa kujua kama pesa yangu ipo kwa account yangu kama nilivyotuma.

Ndipo wazo la online banking likanijia kichwani naombeni kujua inawezekana kufungua hiyo online banking nikiwa huku na kuweza kupata taarifa ya kila muhamala ninayofanya.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom