Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Habarini za jioni,
Naombeni msaada kidogo katika hili.
Kuna kipengele kimoja katika "Python programming language" kinaitwa "Regular Expressions".Hiki kipengele kinanichanganya kiasi katika platform ninayosomea.Nimekimaliza ila nikijipima najiona bado.
Wenzangu mliopo vizuri hii lugha nisaidieni "documentation" ya mliposomea hicho kipengele.Iwe katika mfumo wa pdf au vyovyote vile.
Natanguliza shukrani🙏