Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

Kwa iyo kama niko Dar, nikitoa 30000 napata sado moja? Nikitaka sado tatu natakiwa nitoe kiasi gani?
Sado tatu wabichi wa kukaanga ni 90000 jumla usafiri nakusafirishia, kuni nakukaangia, pamoja na mafuta
 
Nanunua Sana Dagaa Wa Kukaanga Waliochujwa Mafuta Hapo Mwanza
Nafuatilia Comments Nikijiridhisha Nitakupa Kazi
leo Asubuhi Hii Nimepokea Sado Tatu Toka Mwanza
 
Hapa mchawi uhaminifu tu. Mungu akutangulie.
 
Hapa mchawi uhaminifu tu. Mungu akutangulie.
Ndiyo Ukweli Ndugu Zangu
Kazi Kapata Tatizo Ni Hilo Tu
Nikikumbuka Miaka Ile Tele Tele
Kuna Member Akijitambulisha Yupo Kawe
Kaunguliwa Na Nyumba, Vitu Vimeteketea Vyote


Mtoto Wake Mdogo Kaungua Wamelazwa Lugalo Hospital
Akaomba Achangiwe Chochote Akaweka Number
Kuna Member Mmoja Akatinga Lugalo Hospital
Ward Waliyolazwa Akaanza Kutafuta Hakuna Mgonjwa


Baadhi Ya Watu Walioguswa Walimwaga Cash Kwenye Number Kumsaidia Kumbe Taperi Tu
 
Mambo ya utapeli huwakosesha fursa wale wenye nia njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…