Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

sawasawa,kozi fupi au scholarship za masters kwa hapo uswiss wanatoa je link waweza kuwa nazo? utusaidie mkuu.

HOT
 
Mkuu scotland ni nchi ninayoipenda sana vipi kuhusu fees zao undergraduate na postgraduate....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo swala la vijana wa Tz hatuchangamkii fursa za nje ni kweli kabisa hivi mkuu nikijichanga changa hautanisaidia connection hata kazi ndogo ndogo za viwandani au mashambani
 
Hilo swala la vijana wa Tz hatuchangamkii fursa za nje ni kweli kabisa hivi mkuu nikijichanga changa hautanisaidia connection hata kazi ndogo ndogo za viwandani au mashambani
Ukija kihalali why nisikupokee mkuu, ilimradi usiwe na historia ya uhalifu au uvunjaji wowote wa kisheria ama kujihusisha na vikundi vya madawa ya kulevya.
Ukiwa mtu mwema nakupa ushirikiano wote mkuu
 
Hao watz ambao wako ulaya wenyewe kwa wenyewe hawapendani,unategemea akupe masada wewe uliye mbali
 
Hao watz ambao wako ulaya wenyewe kwa wenyewe hawapendani,unategemea akupe masada wewe uliye mbali
Mkuu mbona hili ndio nasikia kwako, umejuaje hatupendani? Japo wenye roho mbaya kwenye jamii hawakosi
 
Changamoto ninayoiona mimi ni kupata mwenyeji kule. Wengine nauli, ujuzi, elimu na vitu vidogo vidogo vinaweza kupatikana. Lkn utaondoka unafikia wapi? Nani atakupa connection uanzie wapi?
Naomba tusaidiane hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ninayoiona mimi ni kupata mwenyeji kule. Wengine nauli, ujuzi, elimu na vitu vidogo vidogo vinaweza kupatikana. Lkn utaondoka unafikia wapi? Nani atakupa connection uanzie wapi?
Naomba tusaidiane hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kaka na hii inakuwa na changamoto kubwa lakini Kama ndio malengo yako lazma uwe na namna nyingine ya kuwezesha ifanikiwe
 
Mkuu mbona hili ndio nasikia kwako, umejuaje hatupendani? Japo wenye roho mbaya kwenye jamii hawakosi
Umeshawahi kuishi Europe au USA,jama umeishi huko huwezi nashangaa,Mtz kabda hajapakia ndege Anaambiwa kabisa ukifika huko kaa mbali na wtz sio wazuri,
 
Umeshawahi kuishi Europe au USA,jama umeishi huko huwezi nashangaa,Mtz kabda hajapakia ndege Anaambiwa kabisa ukifika huko kaa mbali na wtz sio wazuri,
Baadhi sio wote
 
I always have a dream to go pursue a Bachelor Degree at Aston Uni in the UK, then najilipua to either Uswisi or Scandinavian country.

But the reality seems to be against me. Days pass... nor local connection neither international connection! Age flyies... no money, no job. How will I break through? How will I break the code? My mind always 'keep loading...' to attempt those questions.

Mtu anazaliwa in poor background, live in poor life, die in poor life. The trap in vicious circle of poverty!! Otherwise Mwenyezi Mungu afanye miujiza upate 'zali'. Gaddem this life!!!

Thanks mkuu for the useful thread. It portrays valuable tips to fellas who envisage kujilipua ughaibuni and other like-minded people. Endelea kukaza huko huko bro. Get life bro. Africa is full of shitts! Leaders and decision makers do let this continent down. Were used to expect the unexpected. Life goz'on though.

Mambo mazuri yapo 'mbele'. Wacha niendelee kuota ndoto yangu ya mchana to join Aston Uni someday in future. Ila sizubai kungojea 'miujiza'... striving 24/7.

Msafiri kafiri haishi kubashiri. Safari na maisha!

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…